Top 10 similar words or synonyms for telemark

vest    0.945443

agder    0.943685

buskerud    0.941676

ilorin    0.940166

clearwater    0.940118

beccensis    0.938350

győr    0.933195

universität    0.933035

kidungra    0.932203

kigbanu    0.930791

Top 30 analogous words or synonyms for telemark

Article Example
Buskerud Buskerud ni moja kati ya Majimbo ya Norwei. Jimbo limepakana na Akershus, Oslo, Oppland, Sogn og Fjordane, Hordaland, Telemark, na Vestfold. Ngazi ya utawala ya jimboni hapa ipo mjini Drammen.
Aust-Agder Aust-Agder ni moja kati ya Majimbo ya Norwei "(fylke)". Imepakana na Telemark, Rogaland, na Vest-Agder. Kunako mwaka wa 2002, kulikuwa na wakazi takriban 102,945, ambayo ni 2.2% ya jumla ya idadi ya wakazi wa nchini Norwei. Ni kweli ina kilomita za mraba zupatazo 9,212 (3,557 sq mi). Kitovu cha utawala wa jimboni hapa ni mjini Arendal.
Hordaland Hordaland ni moja kati ya Majimbo ya Norwei. Jimbo hili limepakana na Sogn og Fjordane, Buskerud, Telemark na Rogaland. Hordaland ni jimbo la tatu kwa ukubwa baada ya Akershus na Oslo kw idadi ya wakazi. Ngazi ya utawala ya mjini jimboni hapa ipo mjini Bergen. Kabla ya 1972, jiji la Bergen lilikuwa na jimbo lake lenyewe mbali na Hordaland.
Magharibi mwa Norwei Magharibi mwa Norwei () ni kanda iliyopo katika pwani ya bahari ya Atlantiki huko mjini kusini mwa nchi ya Norwei. Kanda ina-jumlisha baadhi ya majimbo kama vile Rogaland, Hordaland, Sogn og Fjordane, na Møre og Romsdal na kanda ina wakazi wapatao milioni 1.3. Mji mkubwa kabisa katika kanda hii ni Bergen, wa pili kwa ukubwa ni Stavanger. Agder, Vest-Telemark, Hallingdal, Valdres na sehemu za kaskazini mwa Gudbrandsdal zilikuwa katika jimbo hili wakati wa kupanga Magharibi mwa Norwei.
Rogaland Rogaland ni moja kati ya Majimbo ya Norwei. Jimbo lipo Kaskazini mwa Norwei, likikwa limepakana na baadhi ya mjimbo mengine kama vile Hordaland, Telemark, Aust-Agder na Vest-Agder. Jimboni hapa ni mahali pa kuu pa viwanda vya mafuta ya petroli, na kwa maana hiyo, Rogaland ina idadi ndogo mno ya ukosefu wa ajira kuliko jimbo lolote lile nchini Norwei, 1.1%. Rogaland ina idadi ya vifo vya watoto ipatayo asilimia 2.18 kwa kila mama, ambayo ni kiwango cha juu sana kwa nchini humo, na moja kati ya idadi kubwa mno katika Ulaya.