Top 10 similar words or synonyms for tc

gsi    0.971459

aereos    0.965290

protein    0.964442

ri    0.962624

    0.962233

sz    0.961995

teknisk    0.959869

lwb    0.959129

svenska    0.958658

seaborg    0.958631

Top 30 analogous words or synonyms for tc

Article Example
Tekineti Tekineti (kutoka Kigiriki τεχνητός "teknitos" "bandia") ni elementi sintetiki na metali. Kikemia ni elementi ya mpito yenye kifupi cha Tc na namba atomia 43 katika mfumo radidia.
Tekineti Isotopi inayopatikana zaidi ni Tc yenye nusumaisha ya miaka 211. Hutumiwa katika tiba kwa uchunguzi wa mwili hasa uaguzi wa kansa.
Tawahudi Kati ya hizo aina tano za magonjwa, Aspaja inakaribiana na tawahudi kwa ishara na sababu zinazodhaniwa kusababisha magonjwa haya; Ugonjwa wa Rett na ugonjwa wa uchangukaji utotoni yana ishara kadhaa zinazofanana na ugonjwa wa tawahudi, lakini yana visababishi tofauti, PDD isiyotambukika vinginevyo (PDD-NOS, pia hujulikana kama "tawahudi usio wa kawaida)" huaguliwa wakati vigezo vya kutambua magonjwa mengine maalum havikutimizwa. Tofauti na tawahudi, watu walio na Aspaja hawana uchelewaji mkubwa katika ukuaji wa lugha. Kujidhihirisha kwa tawahudi huchukua wigo mpana, ikiwa ni pamoja na ulemavu shadidi - unaowafanya kuwa kimya, wenye akili taahira, na wenye kupigapiga makofi na kubembea - na watu wanaotekeleza majukumu makubwa lakini wana njia zisizo za kawaida ya kijamii, wenye malengo finyu, na wenye kutumia istilahi nyingi, na sheria za vitabuni katika mawasiliano. Kwa sababu wigo wa tabia ni endelevu, mipaka baina ya vitengo vya uaguzi ni kama ya kubahatisha tu. Wakati mwingine dalili za ugonjwa hugawanywa katika viwango vya chini, kati-juu- na vya tawahudi au (TC, TK, na TJ), kulingana na Kiwango cha Akili (IQ), au kiwango cha usaidizi anachohitaji katika maisha ya kila siku, vitengo hivi havijasanifishwa na ni tata. Tawahudi pia unaweza kugawanywa kuwa tawahudi usio na dalili na ulio na dalili; tawahudi ulio na dalili unahusishwa na ulemavu shadidi wa akili au dalili za kuzaliwa ulio na ishara za kimwili, kama vile sklerosisi ya mishipa. Ingawa watu walio na ugonjwa wa Aspaja aghalabu hufanya vizuri kuliko wenye tawahudi katika mitihani ya utambuzi, kiwango cha mwingiliano kati ya Aspaja, TJ, na tawahudi isiyo na dalili si wazi