Top 10 similar words or synonyms for tawahudi

tkuu    0.851054

skizofrenia    0.850686

bayana    0.820436

asd    0.815783

alzeima    0.810505

kimaumbile    0.809477

kimwili    0.798961

akili    0.795465

wanadamu    0.771507

pumu    0.770189

Top 30 analogous words or synonyms for tawahudi

Article Example
Tawahudi Mtu mwenye tatizo hilo anaelekea mara nyingi kurudiarudia matendo kadhaa, na anaweza kuhofia vitu katika mazingira yake yasiyoeleweka kama tatizo na wengine.
Tawahudi Watoto wenye tatizo hilo huwa na kawaida ya kukaa wenyewe tu, bila uwepo wa wengine. Wanaweza wasiwe na shauku ya kutaka urafiki na mtu yeyote. Pia, wanaweza wasiwe wanafanya mambo ya kawaida kama kukumbatiana na alama nyingine za upendo kwa wazazi wao. Hii haimaanishi kama hawawapendi wazazi wao, ni kwamba hawajui namna ya kusema hivyo vitu.
Tawahudi Watu walio na ugonjwa wa akili hudhihirisha aina mbalimbali ya tabia radidi au tabia finyu, ambayo Mizani ya Tabia Radidi-Iliyorekebishwa (RBS-R) inainisha kama ifuatavyo.
Tawahudi Wenye tatizo hilo hawaonekani watu wa kawaida. Muda mwingine hawapendi kuangalia wengine pale wanapozungumza nao, au hawapendi kushirikiana na watu wengine katika mambo kadhaa. Pia, hawapo vizuri katika mawasiliano. Muda mwingine huwa hawawezi kuongea au kuzungumza na watu wengine. Mwishoni, hujijibu wao wenyewe. Wanaweza wakawa na shauku na kitu ambacho mtu mwingine (ambaye hana tatizo la tawahudi) hafikirii kina umuhimu.
Tawahudi Ni moja ya matatizo matatu yanayotambulika katika wigo wa ugonjwa wa akili kwa watoto (ASDs), nyingine mbili zikiwa maradhi ya Aspaja, ambayo haikucheleweshi ukuaji wa kiutambuzi na lugha, na Tatizo la Ukuaji Ulioenea-Usiofafanulika Vinginevyo (PDD-NOS), ambao hutambuliwa kikamilifu wakati vigezo vyote vya kwa kawaida au Aspaja havijatimizwa.