Top 10 similar words or synonyms for tamil

nadu    0.931147

maharashtra    0.923025

universiti    0.910546

pradesh    0.903076

agra    0.893615

madhya    0.893064

chennai    0.892304

bellville    0.890842

uttar    0.888404

kuala    0.884321

Top 30 analogous words or synonyms for tamil

Your secret weapon. Online courses as low as $11.99

Article Example
Tamil Nadu Tamil Nadu ni jimbo ya Uhindi. Mji mkuu wake ni Chennai.
Mtume Thoma Inawezekana kwamba sababu yake ni kazi za utume alizozifanya huko hadi kifodini chake huko Chennai (Tamil Nadu) mwaka 72.
Kitamil Kitamili ni lugha ya Uhindi inayojadiliwa hasa kwenye jimbo la Tamil Nadu pamoja na kaskazini ya Sri Lanka. Ni kati ya lugha kubwa za dunia yenye wasemaji zaidi ya milioni 70.
Puducherry Jumla ya maeneo yote ni km² 492; kati ya sehemu nne Pondicherry (km² 290) na Karaikal (km² 160) zimezungukwa na eneo la jimbo la Tamil Nadu; Yanam (km² 20) liko ndani ya eneo la jimbo la Andhra Pradesh na Mahé (km² 9) imezungukwa na jimbo la Kerala.
Chennai Chennai ni jina la mji mkuu wa jimbo la Tamil Nadu katika Uhindi. Kwa mujibu wa sensa iliyofanyika mnamo mwaka wa 2001, mji una wakazi wapatao milioni 4.6 wanaoishi katika mji huu. Mji upo m 6 kutoka juu ya usawa wa bahari.
Mahabharata Matoleo mengi halisi ya maandiko ya Mahabharata yaliibuka na wakati, mengi yakitofautiana tu katika maelezo madogo, au yakiwa na mistari au hadithi zaidi zilizoongezwa. Haya ni kama vile matoleo kutoka bara ndogo la Uhindi, kama vile Kakawin Bharatayuddha kutoka Java. Michezo ya uigizaji vbarabarani wa Tamil, terukkuttu, yakitumia maudhui kutoka matoleo ya luigha ya Kitamili ya Mahabharata, yanaolenga Draupadi.
Kulungu pembe-nne Kulungu pembe-nne wengi sana wa pori wapo Uhindi, na makundi ya wanyama wachache yapo Nepal. Usambazaji wao huenea kusini ya tambarare ya Gangetic mpaka jimbo la Tamil Nadu, na mashariki mpaka Odisha. Wapo pia katika Hifadhi ya Taifa ya Msitu wa Gir, ya Uhindi ya magharibi.
Korosho Acajaiba, acajou, acajé (Tupi), kaju (Urdu, Hindi, Gujarati), acajuiba, alcayoiba, anacarde, anacardier, anacardo, andi parippu (Malayalam), cacajuil, cajou, caju (Portuguese), anacardo, cajueiro, cajuilcasho, cashu, castaña de cajú, marañón (Spanish), gajus (Malay),kajjubee (Konkani) godambi (Kannada), h?t di?u (Vietnamese), jambu, jambu golok, jambu mente, jambu monyet, jambu terong, kacang mede, kacang mete (Indonesian), jeedi pappu (Telugu), jocote de marañón, kadju (Sinhala), kasoy (Tagalog), marañón, merey, mundhiri paruppu, sarsgorilla (Tamil), noix d’acajou, pajuil, pomme, pomme cajou, mamuang himmaphan (Thai), korosho (Kiswahili), indijski orah (Serbian), indijski orešcek and akažu (Slovenian).
Rahul Bose Rahul Bose (alizaliwa 27 Julai 1967) ni filamu muigizaji Hindi , mkurugenzi , screenwriter, mwanaharakati wa kijamii , na mchezaji raga. Bose kuonekana katika Bengali filamu kama vile Mheshimiwa na Bi Iyer, Kalpurush , Anuranan , Antaheen , Laptop na Mke Kijapani. Yeye pia alionekana katika filamu Hindi kama vile Pyaar Ke Side Effects , Maan Gaye Mughal -e- Azam , Jhankaar Beats, Kucch Luv Jaisaa, na Chameli . Yeye pia alicheza adui katika 2013 Tamil - Hindi filamu Vishwaroopam . [1] Time magazine aitwaye yake " Nyota ya Hindi arthouse sinema" wakati Maxim aitwaye yake " Sean Penn ya Mashariki sinema" . [2] kwa kazi yake katika sambamba films sinema kama vile Kiingereza, Agosti na Mheshimiwa na Bi Iyer. Yeye ni mashuhuri pia kwa harakati zake za kijamii : alishiriki katika jitihada za kutoa misaada iliyofuata 2004 Boxing Day Tsunami na pia ni mwanzilishi wa NGO ya kupambana na ubaguzi , Foundation.