Top 10 similar words or synonyms for tambi

supu    0.861457

chapati    0.850923

kukaushwa    0.844112

ethili    0.835883

zabibu    0.834248

hupikwa    0.828736

kokwa    0.828168

bichi    0.827191

soya    0.825073

chokoleti    0.822013

Top 30 analogous words or synonyms for tambi

Article Example
Tambi Tambi ni chakula kinachotengenezwa kutoka kwa kinyunga cha unga na maji kuwa kama milia membamba inayopikwa katika maji au supu. Ni chakula muhimu katika nchi nyingi hasa Italia, China, Japani na Korea. Siku hizi zimeenea kote duniani. Aina zinazoliwa sana kimataifa ni pasta zenye asili ya Italia hasa spaghetti.
Tambi Tambi zinaweza kutengenezwa jikoni na kupikwa zikiwa bichi. Lakini kwa kawaida huandaliwa kiwandani na kuuzwa ilhali zimekauka. Tambi kavu haziozi zinaweza kutunzwa kwa muda mrefu na zinapikwa haraka kwa muda wa dakika 8-15. Wachina waligundua njia za kutengeneza tambi zinazopikwa katika muda wa dakika 3 pekee.
Tambi Aina za kimsingi ni pamoja
Tambi Kuna njia mbalimbali za upishi kwa mfano
Tambi Kuna aina nyingi sana za tambi zinazotofautiana kwa umbo, rangi na ladha. Tabia hizi zinategemea na aina ya unga ambayo ni msingi wa tambi lakini pia na nyongeza kama vile mayai, mafuta, jibini na mengine ndani yake.