Top 10 similar words or synonyms for swallow

hirundo    0.992569

collared    0.988314

kingfisher    0.988268

owlet    0.986612

crested    0.986010

sooty    0.985887

ashy    0.985711

bulbul    0.985400

hornbill    0.985375

coucal    0.984607

Top 30 analogous words or synonyms for swallow

Article Example
Kidonda cha duodenamu Visababishi vya kawaida hujumuisha bakteria, "Filori helikobakta" na dawa ya kumaliza inflamesheni isiyo na steroidi (NSAIDs). Visababishi vingine visivyo vya kawaida hujumuisha uvutaji tobako, mfadhaiko unaotokana na ugonjwa kali, Ugonjwa wa beseti, Sindromu ya ollinger-Ellison, Ugonjwa wa kroni na sirosisi ya maini, kati ya zingine. Watu waliozeeka zaidi huathirika zaidi na athari za NSAIDs. zinazosababisha kidonda Kwa kawaida utambuzi ukadiriwa kwa sababu ya dalili zinazodhihirika zinazodhibitishwa kwa endoskopi au barium swallow. "Filori H." inaweza kutambuliwa kwa kufanya uchunguzi wa damu kutambua iwapo inakingamwili, uchunguzi wa pumzi wa urea, kuchunguza kinyesi ili kutambua dalili za bakteria au biopsi ya tumbo. Hali zingine zinazosababisha dalili sawa hujumuisha saratani ya tumbo, ugonjwa wa moyo wa koronari, na inflamesheni ya sehemu ya juu ya tumbo au kibofu cha nyongo.