Top 10 similar words or synonyms for strathmore

theolojia    0.753633

alipohitimu    0.746947

uhasibu    0.741564

igcse    0.740162

norbertine    0.734151

kusomea    0.733723

emmaus    0.728611

opencourseware    0.728521

akisomea    0.722914

nyurolojia    0.719927

Top 30 analogous words or synonyms for strathmore

Article Example
Strathmore Ndwiga Patrick Kinyua
Shule ya Strathmore Kila mwaka shule hii huwatuza wanafunzi wawili bora wanaohitimu. Mmoja akiwa Mwanaspoti wa Mwaka, na mwingine akiwa Msomi wa Mwaka. Wale ambao hutuzwa majina yao huandikwa katika 'Honours Board' shuleni. Pia kuna bodi ya heshima kwa Msomi wa Mwaka kutoka kwa Shule ya Msingi.
Chuo Kikuu cha Strathmore Machi 1966, Wanafunzi 25 wa kwanza wa Uhasibu walijiunga na kidato cha sita, na kuanza kujiandaa kwa ajili ya mitihani ambo makao yake ni Uingereza (ACCA). Wanafunzi hawa walifadhiliwa na kampuni za Shell East Africa, British American Tobacco Kenya na East African Breweries.
Chuo Kikuu cha Strathmore Mnamo Mwaka 1986, katika kuitikia ombi la Bodi ya Wadhamini, serikali ya Kenya ilihariji eka 5 ya ardhi iliyokatika barabara ya Ole Sangale, mtaa wa Madaraka . Muungano wa nchi za Ulaya na serikali ya Italia zilikubali kuiunga mkono mradi wa chuo kikuu huko Madaraka . Wahisani walitaka kuunga mkono chuo cha kielimu ambayo hutoa kosi katika Usimamizi na Uhasibu. Chuo cha Kianda, kijisehenu cha wakfu wa Kianda, ambacho kilikuwa na mipango ya maendeleo mapya wakati huo, kilikubali kuendesha kosi zao za kikazi katika chuo kikuu kipya ya Madaraka.
Chuo Kikuu cha Strathmore . Mnamo Januari mwaka wa 1993, Chuo cha Strathmore kiliungana na kile cha Kianda na kuhamia katika barabara ya Ole Sangale iliyo katika mtaa wa Madaraka, jijini Nairobi. Mnamo Agosti 2002, Tume ya Elimu ya Juu iliituza Strathmore tuzo la barua ya mpito ya Mamlaka ya kufanya kazi kama Chuo Kikuu ikiwa na Kitivo cha Biashara na Kitivo cha mawasiliano na technologia.Mnammo Mwaka 2008, Strathmore ilipatiwa mkataba kuwa chuo kikuu kikamilifu. Strathmore imeanzisha skuli ya biashara ,iliyo na uhusiano na taaluma mbalimbali za juu za skuli ya Biashara, zikiwemo IESE na skuli ya Biashara ya Havard
Shule ya Strathmore Tangu mwaka wa 1961 ni mtu mmoja tu ambaye amepata tuzo zote mbili: James McFie mwaka wa 1963.
Shule ya Strathmore Kuna mkondo mbili katika upande wa shule ya upili, A na ALPHA. Mkondo zote mbili ni wapinzani wakuu kwani wanachama wa kila mkondo hukumbuka majumba yao hata miaka kadhaa baada ya kuhitimu kutoka kwa shule. Ni kawaida sana kusikia kauli kama 'jamaa huyo ni mbaya zaidi kuliko mtu wa Alpha' au 'ugonjwa huo ni mbaya kama vile virusi A' katika mazungumzo miongoni mwa wanafunzi waliohitimu.
Shule ya Strathmore Shule hii ina timu za michezo, kila timu ikiwa na jina lake la kibinafsi na historia yake ya kibinafsi. Timu ya raga, maarufu kama “The Bandits”, ndiyo timu maarufu kwa michezo yote shuleni. Mwaka jana walikuwa washindi wa tamasha ya Blackrock ya Shule ya St Mary, tamasha ya raga kubwa zaidi ya shule nchini Kenya. Wao huvaa mashati ya yenye rangi nyeusi, samawati na nyeupe.
Shule ya Strathmore Shule ya Strathmore ilikuwa katika nafasi ya pili katika orodha ya shule bora zaidi nchini Kenya kutokana na msingi wa mwaka wa 2006 wa Kenya Certificate of Secondary Education.
Chuo Kikuu cha Strathmore Chuo Kikuu cha Strathmore ni chuo cha kibinafsi mjini Nairobi, Kenya. Chuo cha Strathmore kilianzishwa mwaka wa 1961, kama chuo cha kiwango cha sita kinachofunza sayansi na sanaa za masomo, na kundi la wataalamu ambao walianzisha Hisani ya Kielimu inayoaminika sasa (Strathmore Educational Trust). Mtakatifu Josemaría Escrivá, mwanzilishi wa Opus Dei, aliwaongoza na kuwapa moyo kuanzisha chuo hicho hiyo.