Top 10 similar words or synonyms for stani

zinki    0.899377

alumini    0.896922

diseli    0.867453

oksidi    0.857493

heli    0.856324

plumbi    0.850410

beteri    0.849626

nikeli    0.848779

dizeli    0.845286

jenereta    0.840642

Top 30 analogous words or synonyms for stani

Article Example
Stani Hupatikana hasa kama oksidi katika mitapo.
Stani Katika historia ilikuwa kati ya metali za kwanza zilizotumiwa na binadamu katika teknolojia. Bronzi ambayo ni aloi ya shaba na stani ilikuwa metali ya kwanza ya vifaa vya kazi na silaha katika nchi nyingi kabla ya teknolojia ya chuma. Mahitaji ya stani yalikuwa sababu muhimu kwa Waroma kuvamia Britania penye migodi muhimu ya stani katika rasi ya Cornwall.
Stani Matumizi ya stani duniani ni takriban tani 300,000 kwa mwaka.
Stani Ni metali laini sana yenye rangi ya kifedha-kijivu. Huyeyuka mapema kwenye kiwango cha halijoto cha 505 °C.
Stani Stani ni elementi. Namba atomia yake ni 50 kwenye mfumo radidia na uzani atomia ni 118.710. Jina ni neno la kilatini stannum kwa metali hii.