Top 10 similar words or synonyms for sodiamu

kloridi    0.931334

iodini    0.898451

potasiamu    0.895499

chlorine    0.890887

humeng    0.885263

kabonati    0.883791

tumbako    0.883120

maini    0.881160

inayowaka    0.878829

naitrojeni    0.878682

Top 30 analogous words or synonyms for sodiamu

Your secret weapon. Online courses as low as $11.99

Article Example
Magadi (kemikali) Wakati magadi ya sodiamu pigwa joto, hutoa kaboni dioksidi na mvuke wa maji (gesi) na hugeuka kuwa sodiamu yenye kaboni.
Mate          2-21 mmol / L sodiamu (chini kuliko plasma ya damu)
Mapinduzi ya Viwandani Uzalishaji wa alkali kwa kiasi kikubwa ulikuwa lengo muhimu pia, na Nicolas Leblanc alifanikiwa mnamo waka wa 1791 kuanzisha njia ya kuzalisha sodiamu kabonati. Machakato wa Leblanc ulikuwa mmenyuko wa asidi sulfiriki na sodiamu kloridi ili kupata sodiamu salfeti na asidi haidrokloriki. Sodiamu salfeti ilichomwa na chokaa mawe (kalsiamu kaboneti) na makaa ya mawe ili kupata mchanganyiko wa sodiamu kaboneti na kalsiamu salfaidi. Kuongeza maji kulitenganisha sodiamu kaboneti mmunyifu kutoka kwa kalsiamu salfaidi. Mchakato ulisababisha idadi kubwa ya mchafuko wa mazingira (asidi kloriki wakati wa kwanza ilitolewa hewani, na kalsiamu salfaidi ilikuwa bidhaa taka ya bure). Hata hivyo, hii, jivu ya kisoda ilionekana kuwa yenye gharama ndogo ya kiuchumi ikilinganishwa na kuchomwa kwa mimea maalum (barilla) au kutoka kwa kelp, ambazo zilikuwa vyanzo vikuu vya hapo awali vya jivu ya kisoda,
Magadi (kemikali) Magadi ni kampaundi ya kemikali yenye fomula NaHCO. Vitu vilivyomo ndani yake ni sodiamu, hidrojeni, kaboni, oksijeni.
Tetekuwanga Virusi vya tetekuwanga (VZV) vinaweza kukabiliwa na kemikali za kuuwa viini, hasa klorini ya kusafisha (yaani, sodiamu hipokloriti). Pia, kama virusi vyote vilivyogubikwa, VZV huathirika na ukaushaji, joto na sabuni. Kwa hivyo virusi hivi ni rahisi kuua kwa kiasi.
Natiri Natiri (pia: sodiamu) ni elementi na metali alikali yenye namba atomia 11 kwenye mfumo radidia na uzani atomia 22.98976928. Alama yake ni Na. Jina latokana na chumvi asilia ya natroni alimotambuliwa. Natiri inapatikana duniani ndani ya chumvi cha kawaida cha NaCl (kloridi ya natiri) kinachopatikana kwa wingi katika maji ya bahari.
Magadi (kemikali) Ni unga mweupe wa fuwele isiyo na asidi: katika siku za nyuma ilitumika kupunguza kiungulia, ugonjwa unaosababishwa na asidi nyingi katika tumbo la mtu. Hii ilikuwa kawaida kufanyika kwa kuchanganya magadi ya sodiamu na maji na kunywa. Wakati kuna asidi sana, husababisha na kiungulia. Inamenyuka na asidi kuzalisha gesi ya kaboni dioksidi. Pia hugusa na besi ili kupunguza madhara yake.
Figo Kwa maana figo zimeumbwa kuhisi ukolezi wa plazma ya ioni kama vile sodiamu, potasiamu, hidrojeni, oksijeni, hewa na msombo kama vile asidi amino, kreatini, bikaboneti na glukosi, figo husawazisha shinikizo la damu, hali ya ujenzi wa glukosi katika chembechembe, na erithropoesisi yaani maendeleo ya kazi ya kutengeneza selidamu nyekundu).
Upungufu wa steroidi za bongo unaohusiana na ugonjwa mahututi Hali kadhaa zisizo za kawaida katika upimaji damu inaweza kuonyesha uwezekano kuwa kuna upungufu wa steroidi za bongo, kama vile kiwango cha chini cha sukari kwenye damu, ukolezi wa kiwango cha chini cha ioni za sodiamu kwenye damu, kiwango cha juu cha potasiamu katika damu, kiwango cha juu cha kalisi kwenye damu, nutropenia, ongezeko ozini, haipaprolaktinemia na kiwango cha juu cha uzalishaji wa homoni za thairoidi mwilini.
Jeraha la moto Katika halijoto zilizozidi , protini huanza kupoteza umbo lake la umbo-tatu na kuvunjika. Hii husababisha uharibifu wa seli na tishu. Madhara mengi ya moja kwa moja ya afya huja baada ya uharibifu wa kazi ya ngozi. Hujumuisha uharibifu wa hisi za ngozi, uwezo wa kuzuia maji kutoka kwa kupitia mvukizo, na uwezo wa kudhibiti joto ya mwili. Uharibifu wa membreni za seli husababisha seli kukosa virutubishi vya potasiamu kwa nafasi ya nje ya seli na kupitisha maji na virutubishi vya sodiamu.