Top 10 similar words or synonyms for snris

triptofani    0.892926

ssris    0.891048

glisini    0.866435

fenilalanini    0.861750

hutafiti    0.853908

makrofeji    0.850535

uendeleaji    0.845212

zinazohusishwa    0.837818

mitokondria    0.834897

kinyweleo    0.834305

Top 30 analogous words or synonyms for snris

Article Example
Dawa za mfadhaiko Dawamfadhaiko, hasa TCAs na SNRIs (mchanganyiko wa SSRIna NRI), pia zimeonyesha tabia za kutuliza maumivu.
Dawa za mfadhaiko "Vizuizi vya ufyonyaji upya wa serotonini-norepinefrini" (SNRIs) ni aina mpya ya dawamfadhaiko zinazofanya kazi na norepinefrini na 5-HT zote. Kwa kawaida dawa hizi zina athari sawa na SSRIs, ingawa zinaweza kusababisha athari zinazotokana na kutoendelea kuzitumia na jambo hili linaweza kulazimisha kupunguzwa polepole kwa kipimo cha dawa. Hizi ni pamoja na:
Dawa za mfadhaiko Pia imeripotiwa kwamba, licha ya ushahidi babaishi unaoonyesha tofauti kubwa ya utendakazi kati ya dawamfadhaiko za awali na zile za karibuni zaidi, matabibu wanaona kuwa madawa mapya zaidi, ikiwa ni pamoja na SSRIs na SNRIs, yana ufanisi zaidi kuliko madawa ya awali (madawa dhidi ya dawamfadhaiko aina ya trisaikliki na MAOIs). Utafiti nchini Uingereza ulionyesha kwamba madaktari wa kiume walikuwa na uwezekano mkubwa zaidi wa kuagiza dawamfadhaiko kuliko madaktari wa kike.
Dawa za mfadhaiko Dawamfadhaiko ni dawa za ugonjwa wa akili zinazotumika kupunguza mivurugo ya halihisi ya moyo, kama vile mfadhaiko mkubwa na ukataji tamaa na hali ya wasiwasi kama vile woga wa kuingiliana na watu. Dawa kama vile vizuia oksidesi vya monoamini(MAOIs), dawa dhidi ya mfadhaiko aina ya trisaikliki (TCAs), dawa dhidi ya mfadhaiko aina ya tetrasaikliki (TeCAs), vizuizi vya uchukuzi wa serotonini kinachochagua (SSRIs), na vizuizi vya uchukuzi wa serotonini-norepinefrini(SNRIs) ndizo zinazohusishwa kwa kawaida na neno hilo. Dawa hizi ni mojawapo kati ya zile ambazo kwa kawaida huagizwa na wataalamu wa magonjwa ya akili na madaktari wengine, na ufanifu pamoja na athari zao ni mada ya tafiti nyingi na madai mengi yanayoshindana. Dawa nyingi husababisha athari za dawamfadhaiko, lakini vikwazo kuhusu matumizi yao yameleta utata unaosababishwa na matumizi yao kwa kutibu maradhi mengine mbali na yale yaliyokusudiwa hatari, licha ya madai kuwa yana ufanisi wa kiwango cha juu.
Dawa za mfadhaiko Ufanifu wa dawamfadhaiko ya kisasa aina ya thaimoleptiki haijawahi kudhihirishwa kikamilifu kuwa ni bora zaidi ya ule wa kipozaungo hai, kulingana na kaguzi mbili za shirika la Cochrane Collaboraton. Ukaguzi wa tafiti zote kuhusu dawamfadhaiko zilizowahi kuwasilishwa kwa FDA, zile zilizochapishwa na zile ambazo hazikuchapishwa, zilizowasilishwa kwa FDA katika mwaka wa 2004. Kwa maandishi yaliyochapishwa, tibamifadhaiko ilikuwa na mafanikio ya 94% katika kutibu mfadhaiko. Kwa maandishi ambayo hayakuchapishwa, mafanikio yalikuwa ni chini ya 50%. Kwa ujumla, tafiti zote zilionyesha ufanisi wa 51% - pointi mbili tu zaidi kuliko ile ya kipozaungo. Hii iliongeza dhahiri ufanifi wa dawamfadhaiko tofauti kutoka 11% hadi 69% zaidi ya kipozaungo. Dawa ambayo huenda ikawa ni tofauti na ile ya mirtazepine- pinzani ya norepinefrini na serotonini, yenye athari zilizo kinyume na zile za SSRI na SNRIS - na venlafaksini, SNRI iliyo na usawa katika mfumo wa kemikali kwa kiwango kikubwa na tramadoli ya afyuni iliyonyumbuliwa.
Dawa za mfadhaiko Tafiti pia zimeonyesha kuwa utoaji wa kuselelea wa homoni za dhiki kutokana na ugonjwa, ikiwa ni pamoja na maambukizi ya viungo au dalili za kingamwilinafsi, unaweza kupunguza athari za nyurotransmita au vipokezi vingine katika ubongo kupitia njia zilizopatanishwa na seli zinazosababisha uvimbe, na hivyo kusababisha ya udibiti mbaya wa homoni za mfumo wa neva. SSRIs, SNRIs na dawamfadhaiko{/3 aina ya {2}tricyclic zinazotenda kazi kwenye vipokezi vya serotonini, norepinefrini na dopamini vimetambuliwa kuwa dhahiri kuwa za kuathiri kinga ya mwili na kuzuia uvimbe dhidi ya michakato ya saitokini, hasa kwa udhibiti wa Intaferoni ya gama (IFN-gamma) na Intaleukini-10 (IL-10), pamoja na TNF-alfa na Intaleukini-6 (IL-6). Imetambulika pia kuwa dawamfadhaiko huzuia kuongezeka kwa kasi ya mfumo wa TH1.