Top 10 similar words or synonyms for skurubu

spana    0.904546

nati    0.885706

parafujo    0.874751

fosforasi    0.867986

kinamo    0.858749

kusugua    0.856321

anioni    0.849000

cadimi    0.846505

lisini    0.844180

kationi    0.841949

Top 30 analogous words or synonyms for skurubu

Your secret weapon. Online courses as low as $11.99

Article Example
Spana Skurubu za pekee huwa na spana zao.
Parafujo Kwa kawaida parafujo hutengenezwa kwa metali lakini kuna pia skurubu zilizotengenezwa kwa plastiki na ubao.
Parafujo Kama vipande viwili vimeunganishwa kwa kutumia skurubu ni rahisi kuzifungua tena.
Spana Spana ni kifaa cha ufundi kinachotumiwa kugeuza skurubu na nati ama kwa kuzikaza au kuzifungua.
Spana Kuna pia spana za pekee zinazoweza kurekebiswa kulingana na kipimo cha skurubu.
Parafujo Kwa jumla parafujo au skurubu zinatofautiana kutokana na madhumuni yao yaani aina ya maunzi yanayoshikwa nazo. Kuna aina tatu
Bisibisi Bisibisi ni kifaa cha ufundi kinachotumiwa kugeuza skurubu (parafujo) yenye kofia iliyo na tundu ama kwa kuikaza au kuifungua..
Spana Spana nyingi zinalingana na umbo la kawaida la kofia ya skurubu na nati yake yenye pande 8. Kimsingi kuna aina mbili:
Parafujo Skurubu ya ubao ina kazi ya kuunganisha vipande viwili vya ubao. Huwa na umbo la pia maana yake inaanza nyembamba na kuwa pana zaidi hadi chini ya kofia yake. Sehemu ya mwisho chini ya kofia mara nyingi haina hesi.
Spana Spana inatakiwa kulingana kamili na ukubwa wa kofia ya skrubu au nati yake. Kama spana ni kubwa kidogo au skurubu haina kipimo sanifu kuna hatari ya spana kuteleza na kuharibu kona za kofia au za nati.