Top 10 similar words or synonyms for sikonge

kapsabet    0.905732

mvomero    0.899862

mkuranga    0.899521

kisarawe    0.897596

igunga    0.890481

buhigwe    0.890192

ijara    0.887387

simanjiro    0.886415

sabatia    0.882844

busega    0.882563

Top 30 analogous words or synonyms for sikonge

Article Example
Sikonge Sikonge kama mji umegawanyika katika sehemu kuu mbili, Misheni na Madukani. Upande wa Misheni ni sehemu walipojenga Wakristo wa Moravian kanisa lao na misheni yao yaani shule, hospitali na chuo cha uuguzi. Shule yao ya sekondari iko upande wa Madukani. Hamna mgawanyiko maalumu wa Wakristo na Waislam.
Sikonge Sikonge ni makao makuu ya wilaya ya Sikonge katika Mkoa wa Tabora nchini Tanzania.
Sikonge Wakati wa sensa iliyofanyika mwaka wa 2012, kata ya Sikonge ilikuwa na wakazi wapatao 17,140 waishio humo.
Sikonge Ila Madukani ni sehemu wanapokaa Waarabu wengi na maduka yao na hiyo imepelekea sehemu hiyo iitwe hivyo. Upande huo pia kuna Mahakama, benki, kanisa la Wakatholiki Warumi (Roman Catholic Church) na shule ya sekondari Mbirani. Hii shule ni shule ya siku nyingi sana na enzi hizo ilikuwa ikiitwa Middle School na hivyo wasomi wengi kutoka Sikonge utakuta walisoma hapa. Baadaye ilitaifishwa na kuwa shule ya msingi na si miaka mingi sana ilirudishwa kwa Wamoravian na wakaifanya kuwa shule ya Sekondari. Serikali ilijenga shule nyingine mpya na shule hiyo ikachukua jina hilo hilo na Mbirani na huku sekondari ikiitwa Sikonge Secondary School.
Kisanga (Sikonge) Kisanga ni jina la kata ya Wilaya ya Sikonge katika Mkoa wa Tabora, Tanzania. Wakati wa sensa iliyofanyika mwaka wa 2012, kata ilikuwa na wakazi wapatao 10,373 waishio humo.