Top 10 similar words or synonyms for shorobo

turaco    0.986619

thick    0.971254

tauraco    0.970984

vidua    0.969551

crested    0.969236

hartlaub    0.968332

lesser    0.968282

babbler    0.967815

lovebird    0.967484

woodpecker    0.967256

Top 30 analogous words or synonyms for shorobo

Article Example
Shorobo Shorobo au huruvi ni ndege wa familia Musophagidae. Spishi za jenasi "Corythaixoides" zinaitwa gowee pia na "Tauraco fischeri" anaitwa kulukulu. Spishi za jenasi "Corythaixoides" na "Crinifer" zina rangi ya kijivu na nyeupe, nyingine zina rangi ya majani, nyekundu, buluu na zambarau. Shorobo ni ndege wa pekee ambao wana pigmenti ya rangi ya majani inayoitwa turacoverdin. Ndege hawa wanatokea Afrika chini ya Sahara. Hawawezi kupuruka vizuri sana lakini hukimbia juu ya matawi ya miti. Hula matunda hasa na majani na maua pia, na mara chache hukamata wadudu na makoa. Hujenga tago lao kwa vijiti na jike hutaga mayai 2 au 3. Vinda wakitoka kwa mayai, wanapambwa na malaika mazito na macho yao ni wazi tayari au karibu.
Shorobo uzuri Shorobo uzuri ("Musophaga rossae") ni ndege wa Kiafrika wa rangi ya bluu wa familia ya Musophagidae.
Shorobo uzuri Yeye hupatikana katika nchi za Angola, Botswana, Burundi, Cameroon, Jamhuri ya Afrika ya Kati, Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo, Gabon, Kenya, Rwanda, Sudan, Tanzania, Uganda na Zambia.
Shorobo uzuri Yeye hupatikana sana akiwa amefugwa.
Gowee Gowee au kore ni ndege wa jenasi "Corythaixoides" katika familia Musophagidae. Jina lako linatoka sauti yao inayosikika kama “gwee” au “gowee” (Waingereza wasikia "go-away" na huitwa ndege hawa Go-away-bird). Huitwa shorobo pia kama spishi nyingine za Musophagidae.