Top 10 similar words or synonyms for sdp

muchiri    0.940401

dp    0.935458

otieno    0.932449

mwangi    0.926944

mugo    0.925259

seif    0.924522

maina    0.921156

kiraitu    0.920496

maitha    0.920276

odongo    0.917883

Top 30 analogous words or synonyms for sdp

Article Example
Beth Mugo 1997 alijiunga na SDP akaingia bungeni kwa jimbo la Dagoretti. Katika uchaguzi wa 2002 aligombea upande wa maungano ya NARC ambamo chama cha SDP ilikuwa mshiriki akarudishwa.
Charity Ngilu 1997 aliondoka katika DP akiandaa kugombea urais yeye mwenyewe akiwa mwanamke wa kwanza nchini wa kugombea urais. Akajiunga na chama cha SDP akamaliza nafasi ya tano.
James Orengo Kuanzia mwaka wa 2007 yeye bado alikuwa mwenyekiti wa chama cha SDP. Chama hiki kilimuunga mkono Raila Odinga wa Orange Democratic Movement aliyekuwa anagombea kiti cha urais katika uchaguzi mkuu wa mwaka wa 2007.
James Orengo Orengo aligombea kiti cha urais mwaka wa 2002 kwa tikiti ya chama cha Social Democratic Party, lakini alimaliza katika nafasi ya nne na asilimia 0,4 tu ya kura. Chama chake kilipoteza viti vyote vya ubunge kwani wanachama wengi wenye majina kubwakubwa ambao walikuwa wanachama wa SDP walikuwa wameliondoka chama hicho na kujiunga na chama cha muungano cha NARC. Orengo amewahi kuwa mbunge wa eneo bunge la Ugenya kwa tikiti ya FORD-Kenya. Yeye ni mwanachama mwanzilishi wa Muungano wa Mageuzi, kundi lililokuwa linajaribu kutekeleza sera lenye wanachama kutoka chama tofauti za kisiasa.