Top 10 similar words or synonyms for scott

lewis    0.965604

steven    0.961248

davis    0.959982

mike    0.955683

morgan    0.955154

sarah    0.947045

gary    0.945187

charlie    0.944816

dixon    0.944240

moore    0.943857

Top 30 analogous words or synonyms for scott

Article Example
Roger Scott Akitarajia uzinduzi wa stesheni za kibiashara za redio,Scott alirudi Uingereza katika mwaka wa 1971,lakini akapata maendeleo hayakuwa mbele kama alivyofikiri. Wakati uo huo, yeye alipata nafasi ya kazi katika UBN,stesheni ya kampuni ya United Biscuits, iliyotangaza habari kwa viwanda vya kampuni hiyo katika taifa zima. Ilikuwa wakati huu ,pia, alifanya kazi katika stesheni ya BBC Redio lakini akingoja kazi ya baadaye katika redio ya kibiashara alifanya kazi hiyo chini ya jina "Bob Baker."
Roger Scott Scott hakufuata orodha za kawaida za muziki , utafiti wowote wa wasikilizaji ama mbinu zozote za stesheni za kibiashara katika miaka ya 1980.Alitumia mbinu zake.
Roger Scott [[Category:Waliofariki 1989]]
Ashley Scott Ashley McCall Scott (amezaliwa tar. 13 Julai 1977) ni mwigizaji filamu na tamthilia-mwanamitindo wa zamani kutoka nchini Marekani. Anajulikana zaidi kwa vipindi vya televisheni na filamu. Moja kati ya tamthilia alizoigiza Ashley ni kama ifutavyo: Dark Angel , Birds of Prey, na Jericho.
Ashley Scott Wakati anaishi mjini Charleston akajiingiza katika mashindano ya kumtafuta mtu mwenye kipaji ya Millie Lewis Talent Competition. Kwa bahati nzuri akabahatika kuibuka mshindi katika mashindano hayo. Baada ya shinda hilo kwisha Scott akaelekea zake mjini New York kimasomo na kwenda kujifua zaidi kimaswala ya uwanamitindo.