Top 10 similar words or synonyms for saitoti

kiraitu    0.896248

wekesa    0.892854

orengo    0.889597

kimunya    0.885911

kibwana    0.885191

mtamila    0.882395

alihifadhi    0.879377

ongeri    0.878487

bonaya    0.877299

omingo    0.877194

Top 30 analogous words or synonyms for saitoti

Your secret weapon. Online courses as low as $11.99

Article Example
George Saitoti Alisomea Shule ya Upili ya Mang'u na alipata elimu yake ya shahada ya kwanza huko Marekani katika Chuo Kikuu cha Brandeis baada ya kulipiwa na Wien. Saitoti alipata PhD katika Hisabati kutoka Chuo Kikuu cha Warwick mwaka 1972 katika nyanja ya algebraic topology.
George Saitoti Siku ya 13 Februari 2006 kujiuzulu kwa Saitoti kama Waziri wa Elimu ulitangazwa na Rais Mwai Kibaki katika televisheni, baada ya madai kwamba alikuwa amehusika katika kashfa ya Goldenberg. Mahakama ya juu ya Kenya iliamuru tarehe 31 Julai 2006 kuwa Saitoti haipaswi kushtakiwa juu ya kashfa ya Goldenberg. Tarehe 15 Novemba 2006 alirudishwa kazini kama Waziri wa Elimu na Kibaki.
George Saitoti Saitoti ameelezea nia yake ya kuwania kiti cha Rais wa Kenya mwaka 2012.
George Saitoti Prof George Kinuthia Saitoti (aliyezaliwa 3 Agosti 1945-10 Juni 2012) ni mwana-hesabu, mwanasiasa, na aliyekuwa Makamu wa Rais wa Kenya. Yeye sasa ni Waziri wa Usalama wa Ndani.
George Saitoti Tarehe 30 Agosti 2002, Saitoti aliuzuliwa kama Makamu wa Rais na Rais Daniel Arap Moi kwa utovu wa utiifu; Saitoti aliuzuliwa pia kazi yake kama Makamu Mwenyekiti wa Kenya African National Union (KANU) . Katika Uchaguzi Mkuu wa 2002, alishinda kiti cha Kajiado North kwa chama NARC.
George Saitoti Katika Bunge iliyotangazwa na Kibaki 8 Januari 2008, kufuatia utata wa Uchaguzi wa 2007, Saitoti alikuwa Waziri wa Usimamizi wa Majimbo na Usalama wa Ndani katika Ofisi ya Rais. Baada ya ugawaji madaraka kufikiwa kati ya Kibaki na Raila Odinga, wote ambao alidai ushindi katika uchaguzi wa 2007, Saitoti alihifadhi kazi yake katika Bunge ya muungano iliyotajwa tarehe 13 Aprili 2008.
George Saitoti Saitoti adai kuwa ni Mmasai, lakini wapinzani wanasema yeye ni Mkikuyu. kijugumu, Human Rights Watch walisingizia kuwa alichochea ghasia za kikabila katika Mkoa wa Rift Valley wakati wa uchaguzi mkuu wa Kenya, wa 1992, vurugu ambayo ilikuwa hasa kuelekezwa dhidi ya Wakikuyu.
Jimbo la Uchaguzi la Kajiado Kaskazini Aliyekuwa Makamu wa Rais Profesa George saitoti analiwakilisha jimbo hilo kama mbunge.
PNU Tangu uchaguzi wa 2007, PNU imejiandikisha kama chama halisi cha kisiasa ikiwa na George Saitoti kama mwenyekiti na Mwai Kibaki kama kiongozi wa chama, kitu kilichowafadhaisha wanachama wengi.
Moody Awori Awori ni makamu wa rais wa tisa tangu uhuru wa Kenya mwaka 1963. Wengine kabla yake walikuwa Jaramogi Oginga Odinga, Joseph Murumbi, aliyekuwa Rais Daniel arap Moi, sasa Rais Mwai Kibaki, Prof Josephat Karanja, Prof George Saitoti, na Musalia Mudavadi.