Top 10 similar words or synonyms for rumbidzai

dadirai    0.947526

mahogany    0.909253

jokate    0.906520

peyton    0.904398

watoro    0.902494

kimunggui    0.899731

sancar    0.899643

doni    0.898691

hamlin    0.898689

liberius    0.898157

Top 30 analogous words or synonyms for rumbidzai

Article Example
Takadini Baada ya miaka tisa Sekai alipata ujauzito, kitendo hicho kilizidi kuwakasirisha Dadirai na Rumbidzai. Siku moja wakati Sekai akiwa anatapika nyuma ya kibanda, Dadirai na Rumbidzai walimwona Sekai akiwa anatapika. Dadirai na Rumbidzai wakaanza kutoa maneno ya kejeli. "Amai Chipo", Rumbidzai aliuliza ili kumuumiza roho Sekai, "ni ndama wangapi ambao ng'ombe wako mzee amepata kwa miaka minne iliyopita?" "Oh, amezaa watatu kwa miaka minne, Amai Tukai", Dadirai alijibu kwa sauti ya juu hata Sekai akasikia.
Takadini Wakati huo katika kijiji alichotoroka Sekai, hakuna mtu aliyejua kuwa ametoroka. Rumbidzai alikuwa na chuki na hukumu dhidi ya Sekai. "Leo tutaona kama yule mchawi atakwepa hukumu ya wazee" Rumbidzai alisema.
Takadini Kati ya wanawake hao wanne, watatu ambao ni Pindai, Dadirai, na Rumbidzai walibahatika kupata watoto, isipokuwa Sekai hakuweza kupata hata mtoto katika kipindi cha miaka tisa tangu kuolewa kwake.
Takadini Katika riwaya hii mwandishi ameweza kumzungumzia mzee Makwati, ambaye alikuwa na wake wanne. Wanawake hao ni Sekai (mke wa kwanza), Pindai (mke wa pili), Dadirai (mke wa tatu) pamoja na Rumbidzai (mke wa nne).
Takadini Kitendo cha Sekai kukosa mtoto na kuendelea kupendwa na mumewe kilichukiwa na wake wenza ambao ni Dadirai na Rumbidzai: hao walimchukia sana Sekai kwa kuamini kuwa huenda alimpa dawa mume wao ili ampende zaidi mwanamke ambaye ni tasa. Kati ya wake wenza hao ni Pindai tu aliyekuwa anampenda Sekai.
Takadini Taarifa za kuzaliwa mtoto Sope ziliinea sana pale kijijini. Waswahili wanasema,"Habari njema huchechemea kwa mguu mmoja, lakini mbaya hukimbia kama sungura." Taarifa za kuzaliwa mtoto Sope, ziliwafurahisha sana Dadirai na Rumbidzai, kwani wao walikuwa na chuki zaidi dhidi ya Sekai. Jioni hiyo Makwati hakwenda kupiga gumzo na wazee wenzie katika dare. Giza lilipoenea na kijiji kilipokuwa kimya, Makwati aliamua kuvunja ukimya na kwenda kibandani kwa Sekai. Akamkuta ameketi mkekani, akimnyonyesha mtoto. Baada ya kufika Makwati, Sekai alimwinua mtoto ili baba yake amuone. Makwati alimwangalia yule mtoto, punde aliinua mikono na kuufunika uso wake kama anafukuza pepo. Makwati, baada ya kumuona mtoto, hatimaye alimudu kusema: "Sekai, umemfanya nini mwanangu? Umekuwa ukifanya jambo gani? Tafadhali nijibu." Jibu pekee la Sekai lilikuwa ni kilio, mpaka machozi yakawa yanamtiririka kidevuni na kumlowesha mtoto. Tuhuma hizo zilimfanya Sekai ajibu uchungu wake, "Maneno yako yanauma sana, yananila mifupa yangu. Unafahamu mapenzi yako yana maana gani kwangu. Unajua siku zote nilivyotaka kuwa wa kwanza kukupa mtoto wa kiume. La, kama ningekuwa na uhusiano wa mwanamume mwingine, lazima ungetambua."