Top 10 similar words or synonyms for richards

drums    0.959170

andy    0.956982

bobby    0.955653

eddie    0.954877

mixing    0.953796

jagger    0.953117

bass    0.952192

keith    0.951048

dean    0.950604

billy    0.950530

Top 30 analogous words or synonyms for richards

Article Example
Denise Richards Denise Lee Richards (amezaliwa tar. 17 Februari 1971) ni mwigizaji wa filamu na mwanamitindo wa zamani kutoka nchi ya Marekani. Alianza kupata umaarufu kunako miaka ya 1990, baada ya kushiriki katika filamu nyingi na kuonyesha urembo wake, filamu hizo ni kama vile Starship Troopers, Wild Things na The World Is Not Enough ya James (Pierce Brosnan ).
Dickinson Richards Dickinson Woodruff Richards (30 Oktoba 1895 – 23 Februari 1973) alikuwa daktari na mwanafiziolojia kutoka nchi ya Marekani. Hasa alichunguza hali ya moyo wa binadamu. Mwaka wa 1956, pamoja na Andre Cournand na Werner Forssmann alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba.
Theodore William Richards Theodore William Richards (31 Januari 1868 – 2 Aprili 1928) alikuwa mwanakemia kutoka nchi ya Marekani. Baadhi ya utafiti mwingine, alichunguza vipimo vya atomu. Mwaka wa 1914 alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Kemia.
Tuzo ya Nobel ya Kemia 1914 Theodore William Richards
Tattoo You Nyimbo zote na Mick Jagger na Keith Richards, kasoro zile zilizo wekwa alama tu.