Top 10 similar words or synonyms for rekodi

mbio    0.761594

mechi    0.705346

nambari    0.693985

lebo    0.693691

video    0.673895

michuano    0.670979

mashindano    0.670791

zilifikia    0.667090

studio    0.664498

ziara    0.663020

Top 30 analogous words or synonyms for rekodi

Article Example
Rekodi za Dunia za Guinness Baada ya kitabu kuwa maarufu bila kutarajia, toleo zaidi zilichapishwa. Hatimaye, ikafuata muundo wa marekebisho mara moja kila mwaka iliyochapishwa katika Oktoba sanjari na mauzo ya Krismasi . McWhirters waliendelea kuchapisha vitabu hivyo na vingine vya kuhusiana kwa miaka mingi. Ndugu hao walikuwa na kamusi kumbukumbu - kwenye makala ya TV ya "Record Breakers," kuhusiana na kitabu hicho. Walijibu maswali kutoka kwa watoto kwenye mkusanyiko kuhusiana na rekodi mbalimbali za dunia na wangewapa kawaida majibu sahihi. McWhirter Ross aliuwawa na Provisional Irish Republican Army mwaka 1975. Kufuatia mauaji ya McWhirter , kipengele katika maonyesho ambapo maswali kuhusu rekodi za hapo mbeleni kotoka kwa watoto yalijibiwa kiliitwa "Norris on the Spot".
Rekodi za Dunia za Guinness Kutolewa kwa Norris McWhirter kutoka jukumu la la kuwa mshauri mwaka wa 1995 na baadaye maamuzi ya Diageo Plc kuuza Guinness World Records imeibadilisha kotoka muundo wake wa kuwa kama kitabu cha marejeleo , hadi kuwa mfano wa bidhaa. Mabadiliko haya yana maana kwamba rekodi nyingi za dunia zizijaorodheshwa katika kitabu (au kwenye tovuti), na zinaweza tu kujulikana kwa kuandika ombi kwa Guinness la kutaka 'kuvunja' rekodi. Kwa wale wasioweza kungojae muda wa hadi wiki 4-6 kwa majibu, Guinness itashughulikia maombi yao kwa dharura kwa kiwango cha pauni 300 (~dola 600).
Rekodi za Dunia za Guinness Wakati mmoja, kulikuwa na majumba ya kumbukumbu na maonyesho ya Guinness World Records katika Trocaderomjini London, Surfers Paradise, San Francisco, Orlando, Florida, Atlantic City, New Jersey, Las Vegas, Nevada na San Antonio, Texas lakini maeneo haya yalifungwa. Jumba la kumbukumbu la Orlando , ambalo lililofungwa mwaka 2002, lilibandikwa "The Guinness Records Experience;" majumba ya Hollywood , Niagara Falls, Copenhagen, Gaitlinburg na, Tennessee awali pia yalibandikwa hivyo.
Rekodi za Dunia za Guinness Mnamo mwaka wa 2008, Guinness World Records ilizindua toleo lake la Gamer's edition kwa muungano na Twin Galaxies. Gamer's Edition ina kurasa 258, zaidi ya rekodi 1236 za dunia kuhusiana michezo ya video na mahojiano manne ikiwemo ile na nmwanzilishi wa Twin Galaxies, Walter Day.
Rekodi za Dunia za Guinness Guinness World Records" iliyojulikanaa hadi mwaka wa 2000 kama The Guinness Books of World Records" (na kwa matoleo yaliyotangulia Marekani, ilijulikana kama "The Guinness Book of World Records)," ni kitabu cha marejeleo kinacho chapishwa kila mwaka na ni mkusanyiko wa rekodi za dunia za mafanikio ya binadamu pamoja na maajabu ya ulimwengu asili. Kitabu chenyewe kinashikilia rekodi ya dunia kama mfululizo wa kitabu cha nakala iliyohifadhiwa kilicho na mauuzo bora zaidi. Pia ,ni mojawapo ya vitabu ambavyo huibiwa kwa sana kutoka maktaba ya umma katika Marekani.
Rekodi za Dunia za Guinness Makala ya hivi karibuni yamelenga rekodi za umahiri wa washindani binadamu. Mashindano yapo kwa viwango mbalimbali kutoka kwa yale dhahiri kama kuinua uzito hadi uturushaji wa yai kwa umbali ulio mrefu zaidi, au kwa muda mrefu iliotumika kucheza "Theft Auto IV" au idadi ya hot dogs ambazo zinaweza kuliwa katika dakika kumi, ingawa mashindano ya kula na kunywa bia na pombe hayakubaliki tena pengine kwa hofu ya kuyahalalisha. Licha ya rekodi za mashindano, kuna habari za ukweli kama uvimbe mzito sana,mmea wa sumu zaidi , mto mfupi sana (Mto Roe ), mchezo wa kuigiza unaochukuwa muda mwingi sana "(Guiding Light)" katika Marekani, wahusika waliodumu sana katika mchezo wa kuigiza (William Roache kwa "Coronation Street" nchini Uingereza, Ray Meagher kwa " Home and Away" muda mrefu zaidi "(As the World Turns)" katika Marekani, na mfanyabiashara maarufu sana duniani (Joe Girard), na zinginezo. Rekodi nyingi pia zinahusiana na binadamu mwenye umri mdogo kutimilisha kitu kama binadamu mwenye umri mdogo kutembelea mataifa yote ya ulimwengu akiwa Maurizio Giuliano.
Rekodi za Dunia za Guinness Kila toleo lina uteuzi wa rekodi nyingi katika mfumo habari wa Guinness , na vigezo vwa kuchagua vimebadilika na miaka iliyopita. Rekodi mpya huongezwa na rekodi ambazo zimevunjiliwa hoongezwa pia.
Rekodi za Dunia za Guinness Mnamo Februari 2008, NBC ilionyesha "The Top 100 Guinness World Records of All Time" na Guinness World Records ilizirodhesha kwenye tovuti yao.
Rekodi za Dunia za Guinness Mandugu wa McWhirter kwa pamoja na Roy Castle walituletea kipindi kwenye televisheni ya BBC, Record Breakers na kuanzia 1972 hadi kifo cha Ross mwaka 1975; Norris aliendelea kuonekana kwenye kipindi mpaka kustaafu kwake mwaka wa 1994.
Rekodi za Dunia za Guinness Mnamo tarehe 4 Mei 1951, Sir Hugh Beaver, akiwa mkurugenzi wa Guinness Breweries, alienda kwenye mchezo wa kupiga risasi kule Kaskazini Slob , kando na mto Slaney katika County Wexford, Ireland. Alijiusisha kwenye mabishano kuhusu ni ndege yupi wa mwitu aliyekuwa wa kasi sana Ulaya, koshin golden plover au grouse. Jioni hiyo akiwa Castlebridge House, aligundua kuwa ilikuwa vigumu kuthibitisha katika vitabu vya marejeleo kama koshin golden plover alikuwa ndege wa mwituni wa kasi sana wa Ulaya ama sivyo.