Top 10 similar words or synonyms for ralph

dwayne    0.973333

rabin    0.969923

salary    0.963596

benny    0.963333

neal    0.962550

callahan    0.962234

natasha    0.960846

chorus    0.959670

sermon    0.959458

reid    0.959297

Top 30 analogous words or synonyms for ralph

Your secret weapon. Online courses as low as $11.99

Article Example
Ralph Bunche Ralph Johnson Bunche (7 Agosti 1904 – 9 Desemba 1971) alikuwa mwanasiasa kutoka nchi ya Marekani. Mwaka wa 1950 alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel kwa Amani kwa vile aliwasaidia Waarabu na Waisraeli kusimamisha vita yao kwa muda kule Palestina mwaka wa 1949.
Ralph Steinman Ralph Steinman (14 Januari, 1943 – 30 Septemba, 2011) alikuwa mwanabiolojia kutoka nchi ya Kanada. Hasa alichunguza kingamwili. Mwaka wa 2011, pamoja na Bruce Beutler na Jules Hoffmann, alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba.
Ralph Barton Perry Ralph Barton Perry (3 Julai 1876 – 22 Januari 1957) alikuwa mwanafalsafa na mwandishi kutoka nchi ya Marekani. Mwaka wa 1936, alipokea Tuzo ya Pulitzer ya Wasifu kwa wasifu yake ya William James.
Tuzo ya Nobel ya Amani 1950 Ralph Bunche
Tuzo ya Nobel 1950 – Cecil Frank Powell (Fizikia), Kurt Alder na Otto Diels (Kemia), Philip Hench, Edward Kendall na Tadeus Reichstein (Tiba), Bertrand Russell (Fasihi), Ralph Bunche (Amani);
Bruce Beutler Bruce Beutler (amezaliwa 29 Desemba, 1957) ni mwanabiolojia kutoka nchi ya Marekani. Hasa alichunguza kingamwili. Mwaka wa 2011, pamoja na Jules Hoffmann na Ralph Steinman, alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba.
Jules Hoffmann Jules Hoffmann (amezaliwa 2 Agosti, 1941) ni mwanabiolojia kutoka nchi ya Luxemburg na Ufaransa. Hasa alichunguza kingamwili. Mwaka wa 2011, pamoja na Bruce Beutler na Ralph Steinman, alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba.
Norman Angell Sir Ralph Norman Angell Lane (26 Desemba 1872 – 7 Oktoba 1967) alikuwa mtaalamu wa uchumi na mwandishi wa habari kutoka nchi ya Uingereza. Hasa alijitahidi kutekeleza amani ya kimataifa. Anajulikana sana kwa kitabu chake “Uwongo Mkubwa” (kwa Kiingereza "Great Illusion") kilichotolewa mwaka wa 1910. Mwaka wa 1931 alipewa cheo cha "Sir" cha Uingereza. Mwaka wa 1933 alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel kwa Amani.
Ukomeshaji wa Biashara ya Watumwa Koloni lilipewa jina la Liberia, na Monrovia ukawa ndio mji mkuu, na Ralph Randolph Gurley mnamo mwaka 1824. Liberia ilitawaliwa na Chama cha Ukoloni cha Marekani (American Colonization Society) kwa kumtumia kiongozi rasmi ambaye, kutokana na umbali, aliachiwa huru kwa kiasi fulani kutawala kulingana na ufafanuzi binafsi wa hati iliyoidhinisha makazi hayo.
Microsoft Mwezi Aprili 2005, Microsoft alipokea hela avskaffandet kukosolewa kwa msaada kutoka Washington jimbo HB 1515 muswada kwamba ingekuwa kupanuliwa hali ya sasa ya sheria za kutobagua watu kwa Alternate riktlinjer ngono. Microsoft alikuwa mshitakiwa wa wakiinama na shinikizo kutoka mitaa kiinjili mchungaji Ken Hutcherson ambaye alikutana na mwandamizi Microsoft mtendaji na kutishia kususia kitaifa ya Microsoft's bidhaa. Microsoft pia yateremsha walikuwa kulipa kiinjili kihafidhina Ralph Reed 's kampuni Century Mikakati ya $ 20,000 kila mwezi ada. Zaidi ya wafanyakazi 2,000 saini ombi kuuliza Microsoft ili reinstate msaada kwa muswada huo. Chini wakali wawili upinzani kutoka nje na ndani ya kampuni kuta, Microsoft waliamua kuunga mkono muswada tena Mei 2005.