Top 10 similar words or synonyms for ragnar

bokhanov    0.971318

pedersen    0.970466

ngwilizi    0.970299

fortaleza    0.969789

kilika    0.968873

sinoussi    0.968369

silvia    0.968090

heymans    0.967729

nadine    0.967105

ausiliatrice    0.965567

Top 30 analogous words or synonyms for ragnar

Your secret weapon. Online courses as low as $11.99

Article Example
Ragnar Granit Ragnar Arthur Granit (30 Oktoba 1900 – 12 Machi 1991) alikuwa mwanafiziolojia kutoka nchi ya Uswidi. Amezaliwa nchini Ufini lakini. Hasa alichunguza mabadiliko ya umeme ndani ya jicho. Mwaka wa 1967, pamoja na George Wald na Haldan Hartline alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba.
Haldan Hartline Haldan Keffer Hartline (22 Desemba 1903 – 17 Machi 1983) alikuwa mwanafiziolojia kutoka nchi ya Marekani. Hasa alichunguza neva za macho. Mwaka wa 1967, pamoja na Ragnar Granit na George Wald alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba.
George Wald George Wald (18 Novemba 1906 – 12 Aprili 1997) alikuwa mwanakemia kutoka nchi ya Marekani. Hasa alichunguza mabadiliko ya kikemia ndani ya jicho. Mwaka wa 1967, pamoja na Ragnar Granit na Haldan Hartline alikuwa mshindi wa Tuzo ya Nobel ya Tiba.