Top 10 similar words or synonyms for pras

wyclef    0.978970

lauryn    0.952545

bayyan    0.948083

rob    0.942677

ron    0.942098

khalis    0.940559

darryl    0.940121

freddie    0.935387

buddy    0.932841

foster    0.930581

Top 30 analogous words or synonyms for pras

Your secret weapon. Online courses as low as $11.99

Article Example
Pras Pras alizaliwa mjini Haiti na kukulia mjini Brooklyn,New York na South Orange, New Jersey, Pras ni mkulima wa muziki toka awali. Akiwa na umri wa maiaka kumi na tatu, Pras alikutana na Lauryn Hill akiwa na umri wa miaka 12, Lauryn ni mwimbaji aliye na kipaji na sauti nzuri, Pras aliligundua hilo mwanzo tu wa kukutana nae. Mnamo mwaka wa 1988, Pras alimtamblisha Lauryn kwa "binamu yake", Wyclef Jean, na baadae wakaja kuunda kundi la muziki liloitwa Tranzlator Crew. Kundi baadae lilibadilshwa jina na kuitwa The Fugees, kama kumbu kumbu kwa wakimbizi wa Haiti waliotelekezwa katika kutaka kupita katika bahari ya Marekani.
Pras Prakazrel Samuel Michel, anajulikana kama Pras, (amezaliwa tar. 19 Oktoba 1972) ni mshindi wa Tuzo ya Grammy (Grammy Award) akiwa kama rapa, mwigizaji na mtayarishaji bora wa muziki kutoka nchini Marekani. Pras vilevile ni mmoja kati ya wanakundi la muziki wa hip hop maarufu kama The Fugees, ni miongoni mwa makundi yaliyofikiriwa kuwa yalipata sifa kubwa sana kwenye miaka ya 1990, kwa kutoa albamu ya The Score iliyofanya vizuri katika soko la muziki.
The Fugees The Fugees ni kundi la muziki wa hip hop kutoka nchini Marekani. Kundi liliamza kupata umaarufu wake kunako miaka ya 1990, ambao wanapiga muziki wenye elementi ya Hip hop, soul na muziki wa Kikaribi, hasa reggae. Wanachama wa kundi hili ni rapa/mwimbaji/mtayarishaji Wyclef Jean, rapa/mwimbaji/mtayarishaji Lauryn Hill, na rapa Pras Michel.
Fu-Gee-La Muziki wa video wa Fu-Gee-La ulipigwa nchini Jamaika. Muziki wa video unaelezea kisa kinachohusiana na masuala ya wizi wa mapesa, ambamo kila mmoja kwenye kundi hili kachukua nafasi yake husika. Mwanzoni anaonekana Pras akishuka kwenye pikipiki na mali ya magendo. Wakati huohuo anaoneshwa Hill akivizia askari apite ili aweze kupora mzigo uliokuwa karibu naye. Mbeleni, anaonekana Jean akiwa mbioni na mwishowe wote wanakutana mahala pamoja na kuanza mbio za magari baina ya polisi na kina Fugees. Mbio zile ziliishia kivukoni ambapo kina Hill wamechelewa kufika pale kwa sababu wale mapolisi walipita njia ya mkato na kutangulia kufika kabla ya wao. Kilichofuata ni kumwaga mapesa wale mapolisi wasishughulike na wao halafu wanaonekana wakirukia boti lililokuwa likiondoka kivukoni taratibu.
Anggun Mwaka 1994, anggun aliamua kuondoka Indonesia na kutimiza ndoto yake ya kuwa msanii wa kimataifa. Kwa msaada wa Erick Benzi, mzalishaji mkubwa wa Ufaransa, mwaka 1997, anggun mafanikio iliyotolewa kimataifa albamu yake ya kwanza yenye jina la "theluji juu ya Sahara" katika nchi 33 duniani kote, ikiwa ni pamoja na [[Marekani] ] ni muziki wa kimataifa Makkah. Tangu wakati huo anggun ametunga tano Albamu ya kimataifa yaliandikwa katika lugha mbalimbali, hasa [[Kiingereza]] na [[Kifaransa]]. Aidha, ana kumbukumbu kwa kushirikiana na wasanii wengi wa kigeni, ikiwa ni pamoja na [[Julio Iglesias]], [[Peter Gabriel]], na [[Pras Michel]] wa kundi la [[Fugees.]] Anggun pia wamekuwa wakiimba moja kwa moja na [[Bryan Adams]], [[Celine Dion]], [[Charles Aznavour]], [[David Foster]], na wengine wanamuziki duniani darasa.