Top 10 similar words or synonyms for plomer

giauque    0.922512

reines    0.917778

changi    0.915487

millenniumit    0.914965

baiyun    0.911942

shivaji    0.909933

mulliken    0.908051

kiloloda    0.904815

kikoalib    0.904232

bengaluru    0.903973

Top 30 analogous words or synonyms for plomer

Your secret weapon. Online courses as low as $11.99

Article Example
William Plomer William Charles Franklyn Plomer (10 Desemba, 1903 - 21 Septemba, 1973) alikuwa mwandishi wa Afrika Kusini na Uingereza. Hasa aliandika riwaya, hadithi fupi na mashairi.
William Plomer Plomer alizaliwa tarehe 10 Desemba, mwaka wa 1903 mjini Pietersburg nchini Afrika Kusini. Mamake angependelea kuishi Uingereza lakini babake alipendelea Afrika Kusini, na kwa vyovyote walikuwa hawana pesa za kutosha kuishi Uingereza. Kwa hiyo, Plomer alisomeshwa Johannesburg. Alipohitimu sekondari alifanya kazi katika kilimo kabla hajawa mwandishi; riwaya yake ya kwanza ilitolewa mwaka wa 1925. Mwaka wa 1926 alimuunga mkono Roy Campbell kuanzisha gazeti la "Voorslag" lakini wafadhili wao wakawanyima pesa kwa ajili ya maoni yao ya kisiasa. Plomer akahamia Ujapani ambako alikuwa mwalimu kwa miaka mitatu. Mwaka wa 1929 akahamia Uingereza ambako aliishi hadi mwisho wa maisha yake akiwa anaendelea kufanya kazi kama mwandishi na mhariri.