Top 10 similar words or synonyms for planktoni

algae    0.899223

ndimu    0.853696

dalasini    0.837072

mwani    0.836106

hutafutwa    0.835549

magimbi    0.833364

picathartes    0.830382

nematocera    0.830311

siafu    0.830070

spp    0.829380

Top 30 analogous words or synonyms for planktoni

Your secret weapon. Online courses as low as $11.99

Article Example
Planktoni Kuna pia nyangumi na papa wanaokula planktoni moja kwa moja kwa kuichotea kwa midomo yao mikubwa pamoja na maji mengi na kusukuma maji nje kupitia meno yao ambayo ni mengi tena madogo kama chanuo au chujio na planktoni yenyewe inabaki ndani kama chakula.
Planktoni Planktoni (Kigiriki πλαγκτος "planktos" "inayoelea kwenye maji") ni jina la kujumlisha viumbe vidogo sana ama mimea au wanyama wanaoishi baharini. Wadogo jinsi walivyo hawana nguvu kuogelea dhidi ya mikondo ya bahari kwa hiyo wanaelea tu baharini wakisukumwa na mwendo wa maji.
Planktoni Planktoni ni chanzo cha maisha ya viumbe vingine kama samaki hadi wanadamu wanokula samaki au kulisha mifugo yao unga wa samaki.
Planktoni Wataalamu wanatofautiisha aina tatu:
Planktoni Planktoni ni chanzo cha mtando chakula majini; planktoni mimea ni chanzo chake kabisa na aina nyingine za planktoni wanatumia mimea hii kama chakula chao.
Planktoni Planktoni kwa ujumla ni lishe kwa viumbe vikubwa zaidi baharini kama samaki ambao wenyewe wanaliwa na viumbe vikubwa tena.
Archaea Archaea ni sehemu muhimu ya planktoni.
Papa (samaki) Papa wengi ni wavindaji wanaokula samaki na wanyama wengine wa baharini. Spishi kadhaa wanahofiwa kwa sababu kushika wanadamu. Lakini papa wakubwa sana hula planktoni kama nyangumi wakubwa.
Biomasi Kiasi kikubwa ni mimea lakini miili ya wanyama au planktoni huhesabiwa pia. Vilevile wanyama na mimea iliyokufa, kukauka, kuoza na kadhalika ni sehemu ya biomasi. Sehemu zao hutumiwa na viumbehai vingine kama lishe la kujenga biomasi mpya.
Fueli za kisukuku Fueli za kisukuku ni fueli kama makaa mawe, gesi asilia au mafuta ya petroli zilizotokana na mabaki ya mimea au miili ya bakteria, planktoni na wanyama katika mchakato ya miaka mingi sana.