Top 10 similar words or synonyms for phd

thesis    0.909525

harvard    0.871973

science    0.858388

graduate    0.856281

cambridge    0.851295

teachers    0.849235

stanford    0.847485

institute    0.847292

training    0.846765

theological    0.840199

Top 30 analogous words or synonyms for phd

Article Example
Ibrahim Lipumba Phd (Economics) Stanford University1983
Chuo Kikuu cha Addis Ababa Chuo hiki kiliweza kupatiana shahada ya kwanza ya Masters mwaka 1979 na PhD mwaka wa 1987.
Daktari 2) Kwa kufuata tabia za lugha nyingine "daktari" hutumiwa pia kama jina la heshima kwa mtu aliyepata shahada ya uzamivu au "PhD" ambayo ni shahada ya juu kabisa.
Wanjiru Kihoro Alizaliwa Nyeri, Kenya akamaliza elimu ya sekondari kwenye Kenya High School huko Nairobi. Kihoro alisoma uchumi kwenye Columbia University, New York. Akachukua MA ya Development Studies na PhD kwenye Chuo kikuu cha Leeds (Uingereza) wakati wa miaka ya 1980.
Ludwig Krapf Wakati ule kwake nyumbani Tübingen Chuo Kikuu kilikuwa kimefuata taarifa zake na 1842 kikampa cheo cha udaktari (PhD) kwa ajili ya utafiti wake katika lugha na historia ya Ethiopia.
Anna Tibaijuka Mwaka 1979 familia ilirudi Tanzania na Anna Tibaijuka alianza kufundisha kwenye Chuo Kikuu cha Dar es Salaam, Kitengo cha Utafiti wa Uchumi. 1981 alifadhiliwa kurudi Uswidi na kufuata kozi ya PhD aliyomaliza 1983. Akarudi Dar es Salaam akafundisha tena uchumi.
Franz Kafka Baada ya kumaliza shule ya sekondari mwaka 1901 aliitikia mapenzi ya babaye akasoma sheria kwenye chuo kikuu cha Praha kati ya 1901-1906 akimaliza kwa digrii ya PhD. Alipata kazi katika kampuni ya bima ya wafanyakazi.
Ruaha Mkuu Öhman, May-Britt, Taming Exotic Beauties: Swedish Hydro Power Constructions in Tanzania in the Era of Development Assistance, 1960s - 1990s, Stockholm, 2007, PhD Thesis, http://www.diva-portal.org/smash/record.jsf?pid=diva2:12267
Kwame Nkrumah Nkrumah alfika London mwezi wa Mei 1945 akajiandikisha kwenye chuo cha London School of Economics kama mwanafunzi wa PhD katika anthropolojia. Aliacha baada ya mhula mmoja, akajiandikisha kwenye chuo kikuu kwa shabaha ya kufuata PhD ya falsafa lakini hakuendelea. Mwishoni alijaribu masomo ya sheria. Profesa wa falsafa Alfred Ayer hakumwona Nkrumah kuwa mwanafalsafa bora. Alisema juu yake: "Nilimpenda nikafurahi kujadili naye. Lakini kwangu hakuonekana kuwa na akili ya mchambuzi. Alitafuta majibu ya harakaharaka. Labda sehemu ya matatizo yake ilikuwa ya kwamba hajajikazia kuendeleza thesis yake. Kwake ilikuwa njia tu ya kupita muda hadi aliweza kurudi Ghana"
David Mathayo David Siasa alizianza rasmi mwaka 1995 alitumia TV yake kwenda kuonyesha vijijini madhara ya vyama vingi, alitumia mapigano ya Rwanda na Burundi kama kutishia wananchi wasikubali upinzani na kipindi kile wananchi walikuwa wepesi kuelewa kumbuka TV hazikuwa nyingi Tanzania kipindi kile. Alijijengea umaarufu sana ndani ya chama mkoani Morogoro na kitaifa. Aligombea ujumbe wa NEC mkoa wa Morogoro kundi la vijana alishinda. Mathayo alimaliza SUA 1997 na kupata kazi ya kufundisha chuo kimoja huko Serowe Botswana. Kwa kuwa mjumbe wa NEC alikuwa karibu na akina Lowasa, JK na vingunge wengine aliweza kuwa anaonana na akina Makamba na akawa ni mwanamtandao. Wakati huo Matayo alikuwa akirudi Tanzania kufanya shughuli zake za kisiasa wakati bado ni mwajiriwa wa serikali ya Botswana. Kwa mfano wakati mmoja alirudi Tanzania na kuwahamasisha wanafunzi wa SUA (kama 200 hivi) na kuwapeleka Dodoma kupokea kadi za CCM chini ya mwenyekiti wa CCM Mkapa. Wanafunzi walahidiwa wangepatiwa ajira kwa kufanya hivyo. Hii ilimjenga sana Matayo ambaye aliisha kuwa maarufu kwenye ofisi za chama Dodoma, kama mjumbe wa NEC na mkutano mkuu. Mwaka 2000 aligombea Ubunge Same Magharibi na kushinda na kuteuliwa kuwa waziri mdogo. Wakti huu aliisha tamka kwamba amesomea Afrika Kusini digrii ya falsafa (PhD). Prof Msolla wakati aliyekuwa waziri wa elimu ya juu na sayansi ambaye aliwahi kufundisha SUA alimjua sana Matayo na alimwita Matayo na kumuuliza kuwa PhD alifanya lini na wapi na pia aletee PhD thesis yake. Prof Msolla alisema "Matayo aliogopa sana na alikili mbele yangu, kuwa Prof mimi nimetumia hii title kisiasa zaidi, sina MSc wala PhD”.