Top 10 similar words or synonyms for pharrell

jazzy    0.969268

bink    0.968241

redman    0.967722

hello    0.965864

nelly    0.965635

fergie    0.965184

jazze    0.964323

chorus    0.962560

siedah    0.961443

swv    0.960872

Top 30 analogous words or synonyms for pharrell

Your secret weapon. Online courses as low as $11.99

Article Example
Todd Smith Waliotayarisha albamu hii ni pamoja na Pharrell, Scott Storch, Bink, Shea Taylor, Keezo Kane na Trackmasters.
I'm Serious Albamu yake ya kwanza ilishirikisha wasanii kama "Pharrell" wa kuotka "The Neptunes", "Too Short", "YoungbloodZ", "Pastor Troy", "Bone Crusher", "Lil Jon", "P$C", "Beenie Man" na "Jazze Pha". Albamu hii iliuza takriban nakala 12,000 kwenye wiki yake ya kwanza.
Todd Smith Todd Smith ni albamu ya 11 (ya 12 kwa ujumla) ya rapa wa Kimarekani LL Cool J. Albamu ilitolewa mnamo tar. 11 Aprili 2006. Inamjulisha ushirikiano wake na baadhi ya wasanii kama vile Jennifer Lopez, Pharrell, Juelz Santana, Teairra Mari, Ginuwine, Mary J. Blige, 112, Mary Mary, Ryan Toby (kutoka City High) na Freeway.
Nina Sky Mnamo mwaka wa 2004, The Jettsonz waliwatambulisha wadada hao kwa Cipha Sounds, na akawachukua mpaka katika studio inayomilikiwa na kikundi cha muziki aina ya hip hop "The Neptunes" (yaani Pharrell Williams na Chad Hugo). Cipha Sounds alivutiwa sana na sauti za madada hao na akashauri kwamba wadada hao waimbe ule mtindo unaoitwa raggae riddim au kwa jina lingine "Coolie Dance".
Urban Legend Albamu hii iliwahusisha wasanii kama Trick Daddy, Nelly, Lil' Jon, B.G., Mannie Fresh, Daz Dillinger, Lil Wayne, Pharrell, P$C, Lil' Kim & Big Kuntry King, Daz Dillinger, Shorty B, Lil' Jon, Scott Storch, Jazze Pha, The Neptunes, DJ Toomp, Khao, Sanchez Holmes, na Mannie Fresh. Nakala 193,000 ziliuzwa kwenye wiki ya kwanza.
Sean Combs Combs iliyotolewa albamu yake ya kwanza kwa miaka 4, "Press Play," tarehe 17 Oktoba 2006 juu ya Bad Boy Records studio kwa Mgeni kuonekana kutoka Christina Aguilera, Keyshia Cole, Mario Winans (saini studio yake 'Bad Boy Records'), nas, Will.i.am (wa Black Eyed Peas), Mary J. Blige, Nicole Scherzinger (wa Pussycat Dolls), Jamie Foxx, Fergie, Big Boi (ya Outkast), Ciara, Twista, Just Blaze, Pharrell, Brandy . Kufikiwa albamu namba moja katika wiki yake ya kwanza katika chati.
Say Somethin' "Say Somethin'" ni wimbo ulioandikwa na Mariah Carey akishirikiana na Snoop Dogg, Chad Hugo, wakishirikiana na Pharrell Williams kwa ajili ya albamu ya Carey ya kumi iliyoitwa "The Emancipation of Mimi" iliyotoka mwaka 2005. Mwimbaji Snoop Dogg anatokezea katika wimbo huu kama mwanamuziki wa kushirikishwa na anaimba shairi moja. Wimbo huu unajumuisha waimbaji mbalimbali na ulifanikiwa kutoka rasmi mwaka 2006, kama single ya sita kutoka katika albamu hii. Wimbo huu ulifanikiwa kufika katika nyimbo arobaini bora nchini Australia na Uingereza, lakini nchini Marekani wimbo huu haukufanikiwa kuingia hata katika chati ya Billbord Hot 100.