Top 10 similar words or synonyms for orengo

gideon    0.913950

wekesa    0.910228

ngala    0.906834

kiraitu    0.904432

onyancha    0.900825

nyagah    0.900165

kamau    0.896776

katana    0.895480

wambua    0.892873

omingo    0.892835

Top 30 analogous words or synonyms for orengo

Article Example
James Orengo Kuanzia mwaka wa 2007 yeye bado alikuwa mwenyekiti wa chama cha SDP. Chama hiki kilimuunga mkono Raila Odinga wa Orange Democratic Movement aliyekuwa anagombea kiti cha urais katika uchaguzi mkuu wa mwaka wa 2007.
James Orengo Tangu wakati huo Orengo ameapishwa kama Waziri wa Ardhi katika Serikali mpya ya Muungano iliyoanzishwa na Sheria ya Kitaifa ya mwaka wa 2008. Hii ilikuwa hisabu yake ya kwanza kama waziri katika baraza la mawaziri. Hivi karibuni waziri huyu aligundua uuzaji wa hoteli ya Grand Regency kwa kitita cha shilingi ya Kenya bilioni 2.7 (karibu dola milioni 30 ya marekani). Aliweza kutambua uhalifu (maarufu kama whistle blowing kwa lugha ya Kiingereza) wakati wa uhamisho wa umiliki wa ardhi kutoka Benki Kuu ya Kenya hadi kwa wamiliki wapya kutoka Libya ulipokamilika chini ya uongozi wa Amos Kimunya, Waziri wa Fedha wa wakati huo. Uhamisho huu ulianzisha kashfa ya Grand Regency.
James Orengo James Orengo , (James Jimmy-Jimmy Owadgi Adhiambo Orengo) ni mwanasheria, mwanasiasa na Waziri wa Ardhi nchini Kenya. Anatoka katika eneo bunge la Ugenya lililoko katika wilaya ya Siaya mkoa wa Nyanza nchini Kenya; alihudhuria Shule ya Msingi ya Ambira kabla ya kujiunga na Shule ya Kitaifa ya Alliance High School. Yeye ni Mhitimu mwenye Shahada ya Sheria ambayo aliipata akihudhuria Chuo Kikuu cha Nairobi ambapo alikuwa rais wa bodi ya wanafunzi katika mwaka wake wa mwisho. Orengo alihitimu mwaka wa 1974.
James Orengo James Orengo anajulikana sana kwa mapambano yake dhidi ya utawala wa kudhulumu. Amekuwa kizuizini kwa idadi nzuri ya miaka yake na anatazamwa na vijana wengi ambao ni wanasiasa wajao kama mfano wa kuigwa. Orengo alikuwa miongoni mwa vijana mashuhuri ambao walileta yale ambayo yanaweza kufikiriwa kama ukombozi wa pili, wakati yeye, Michael Wamalwa Kijana, Kiraitu Murungi, Paul Muite na wanasiasa wakongwe kama vile Jaramogi Oginga Odinga, Masinde Muliro na Martin Shikuku walianzisha chama cha nguvu cha Forum for the Restoration of Democracy(FORD), motokaa ambalo karibu (shukrani kwa upande wa KANU ambao wanachama wao walikuwa na umoja,na kutokuwepo kwa umoja miongoni mwa wanachama wa FORD) lilisukume chama tukufu cha KANU nje ya madaraka.
James Orengo Orengo aligombea kiti cha urais mwaka wa 2002 kwa tikiti ya chama cha Social Democratic Party, lakini alimaliza katika nafasi ya nne na asilimia 0,4 tu ya kura. Chama chake kilipoteza viti vyote vya ubunge kwani wanachama wengi wenye majina kubwakubwa ambao walikuwa wanachama wa SDP walikuwa wameliondoka chama hicho na kujiunga na chama cha muungano cha NARC. Orengo amewahi kuwa mbunge wa eneo bunge la Ugenya kwa tikiti ya FORD-Kenya. Yeye ni mwanachama mwanzilishi wa Muungano wa Mageuzi, kundi lililokuwa linajaribu kutekeleza sera lenye wanachama kutoka chama tofauti za kisiasa.