Top 10 similar words or synonyms for operation

military    0.933751

naval    0.929785

buildings    0.925332

korean    0.923545

towards    0.919423

during    0.918215

survey    0.917518

lightning    0.914732

recent    0.914723

versus    0.914662

Top 30 analogous words or synonyms for operation

Article Example
Gang Starr Wakati wa shughuli zao Gang Starr walisaidia kuvumbua sauti ya hip hop ya New York. Matoleo yote ya Gang Starr, hasa "Step in the Arena" (1991), "Daily Operation" (1992) ""Hard to Earn"" (1994) na "Moment of Truth" (1998) zilipata heshima kubwa saana. Wimbo wa "Jazz Thing", uliokuwemo kwenye filamu ya Spike Lee ya "Mo' Better Blues", ilisaidia kuinua sauti ya jazz rap.
HMS Antelope (H36) Mwaka 1942 na 1943, "Antelope" ilishiriki katika shughuli mbalimbali za kusambaza Malta, ikiwemo Operation Pedestal katika Agosti 1942. Katika Machi 1943, ilizindikiza "Empress wa Kanada", lakini meli hiyo ilizamishwa tarehe 13 Machi. Mwaka wa 1944, ilifanya doria mbalimbali na kupambana na meli. Agosti 1945, ilirudi Uingereza. Mwaka wa 1946, iliuzwa na kuvunjwa na Hughes, Bolkow.
Nkem Owoh Mwaka 2007 alikamatwa na polisi mjini Amsterdam, Uholanzi(kitongoji Bijlmermeer katika eneo la Amsterdam Zuidoost) kama matokeo ya uchunguzi wa miezi 7 ulioitwa "Operation Apollo". Owoh alikuwa akitumbuiza wakati polisi walivamia pahali pale na kuwatia mbaroni watu 111 kwa tuhuma za udanganyifu makosa ya uhamiaji. Owoh baadaye aliachiliwa huru.
Al-Qaeda Ulipuaji huo ulikuwa jaribio la kuondoa askari wa Marekani waliokuwa njiani kwenda Somalia kushiriki katika juhudi za kimataifa unafuu njaa, Operation Restore Hope. Kindani, al-Qaeda iliamini shambulizi hilo lilikuwa ushindi uliyowatia hofu Wamarekani kutoweka, lakini katika Marekani shambulizi hilo lilikuwa vigumu kujulikana.
Kariba, Zimbabwe Kariba ina vitongoji vikuu vitatu: Mahombekombe,kitongoji cha wakongwe maskini kwenye fuo za ziwa , Nyamhunga kitongoji kipya cha wakazii wengi, na Kariba Heights, kitongoji cha ndani cha matajiri na nyumbani kwa jimbo la kumbukumbu la Operation Noah. Kariba Heights kama vile jine lake linaashiria kiko milimani na kutazama Ziwa Kariba kutoka milima hii inapendeza sana.