Top 10 similar words or synonyms for oksidi

methani    0.899119

heli    0.893910

kalisi    0.884959

zinki    0.880550

alkali    0.876256

naitrojeni    0.873350

kuyeyusha    0.873335

alumini    0.873125

hidroksidi    0.871789

chlorine    0.870187

Top 30 analogous words or synonyms for oksidi

Your secret weapon. Online courses as low as $11.99

Article Example
Stani Hupatikana hasa kama oksidi katika mitapo.
Gesijoto Gesijoto asilia zinazopatikana katika angahewa na kutunza joto la sayari ni pamoja na mvuke wa maji, hewa ukaa (kaboni dioksidi), methani, oksidi dinitrojeni (NO) na ozoni O
Mvua asidia Oksidi za sulfuri zinatokana hasa kutokana na kuchomwa kwa makaa mawe na mafuta ya petroli kwa umbo la petroli na diseli.
Tantali Tantali ni metali ngumu yenye rangi ya buluu-kijivu. Tabia zake zafanana sana na Niobi. Tantali tupu inayokaa hewani inapata ganda la oksidi lenye rangi ya kijivu-buluu.
Ufuaji metali Mashapo ni hali ya metali iliyopo ndani ya mawe. Kwa kawaida metali zinapatikana hapa kwa hali ya oksidi yaani muungo wa metali na oksijeni.
Niobi Niobi ni metali laini yenye rangi ya kijivu. Tabia zake zafanana sana na Tantali. Niobi tupu inayokaa hewani inapata ganda la oksidi lenye rangi ya kijivu-buluu.
Maginetiti Maginetiti ni madini yenye rangi nyeusi-kijivu yenye tabia ya sumaku. Kikemia ni oksidi ya feri (chuma) yenye valensi za 2+ na 3+. Fomula yake ni FeFeO.
Mvua asidia Oksidi za sulfuri na nitrojeni kutokana na hewa chafu zinasababisha kutokea kwa asidi kali zaidi kama asidi salfuria (HSO) na asidi ya naitrojeni ndani ya maji ya mvua.
Sklerosisi ya sehemu nyingi Kwa sasa hakuna uchunguzi wa maabara unaoweza kutabiri prognosisi. Mitazamo kadhaa inayoonyesha matumaini imependekezwa ikiwemo:interleukin-6, oksidi ya naitrojeni na sinthesi ya oksidi ya nitrojeni, osteopontini, na fetuin-A. Kwa kuwa kuendelea kwa ugonjwa huu hutokana na kuharibika kwa nuroni, majukumu ya protini zinazoonyesha kupoteza tishu ya neva kama vile filamenti za neva, tau na N-acetylaspartate zinafanyiwa uchunguzi. Athari zingine ni kutafuta biyoishara zinazotofautisha kati ya watakaopata nafuu kutokana na tiba hizi na wasiopata nafuu.
Ufuaji metali Hapa ni lazima kuapashia mawe ya mtapo joto kali na kuyeyusha oksidi ili kutenganisha metali yenyewe na oksijeni na elementi nyingine. Kwa uzalishaji wa chuma kutokana na madini joto lazima kuwa zaidi ya sentigredi 1000.