Top 10 similar words or synonyms for ofmcap

martinus    0.975718

eugenius    0.972316

knodt    0.970259

kasongo    0.969782

pontificia    0.969155

kitobelo    0.967427

bokhanov    0.967165

beccensis    0.966481

suzy    0.965912

servant    0.965446

Top 30 analogous words or synonyms for ofmcap

Article Example
Utawa wa Tatu wa Mt. Fransisko Ushirikiano mpya wa Utawa III na Utawa I uliimarishwa kwa kuunda (1995) Baraza la Familia ya Kifransisko, linalojumlisha Wakuu wa OFM, OFMConv, OFMCap, TOR, IFC-TOR na OFS. Utawa II hauna mwakilishi, kutokana na muundo wake wa monasteri zenye ugo. Baraza la Familia ya Kifransisko linawakilishwa katika Umoja wa Mataifa kwa njia ya asasi isiyo ya kiserikali inayoitwa Franciscans International.
Utawa wa Tatu wa Mt. Fransisko Kwa kawaida ni mashirika ya nadhiri ndogo, au yasiyo na nadhiri, yanayotoa huduma maalumu upande wa umisionari, huruma kwa maskini, ustawi wa jamii, malezi, tiba n.k. Kwa sababu ya kutoweka nadhiri kuu, wanashirika hawakuhesabiwa kama watawa, wala wale wa kike hawakubanwa na ugo. Walifuata katiba zao maalumu chini ya viongozi wao. Waliotaka kuwa Wafransisko walijiunga binafsi na OFS. Kanisa, baada ya kutamka (1887-1893) kwamba mtawa hawezi kuwa Mtersyari pia, na baada ya kutambua (1900) mashirika hayo kuwa ya kitawa liliamua (1901) shirika la mchepuo fulani wa kiroho lisianzishwe pasipo fungamano na Utawa I wa mchepuo huo. Hapo watawa wote wa mashirika hayo wakahesabiwa kuwa Watersyari jumla, bila ya kujiunga binafsi na Utawa III. Mashirika mengi ya Kifransisko yalifungamana kiroho na OFM (1905 n.k.) na OFMCap (1906 n.k.).
Ndugu Wadogo Mtaguso huo ulisisitiza kweli za kudumu na kuelekeza namna ya kukabili kichungaji ulimwengu wa kisasa. Kwa ajili hiyo watawa pia walidaiwa kujirekebisha upya, hasa kiroho. Ndugu Wadogo, sawa na watawa wote, walipaswa kurekebisha katiba zao pia kwa kutoa wote maoni yao, kufanya mikutano mikuu na majaribio mbalimbali. Kazi hiyo ilichukua miaka mingi kuliko ilivyotarajiwa, kwa kufikiria upya vipengele vyote vya maisha ya Kifransisko. Kwa mara ya kwanza mabadiliko ya katiba yaliwekwa mikononi mwa wanashirika, kwa kujali wingi si ubora wao, basi, iliwezekana kufuta harakaharaka mambo yaliyowashinda wengi, bila ya kujali kama yanafaa bado au la. Halafu wasiwasi uliokuwepo kabla ya Mtaguso ulilipuka na kusababisha wengi wapotewe na dira hata katika imani na maadili. Matokeo yake wengi waliacha utawa na upadri. Wengine walibaki pasipo msimamo, kwa kuona mengi ya zamani yamebadilishwa na mapya ni ya muda (yamekubaliwa kwa majaribio). Ratiba ya sala ilipunguzwa sana, kama si kuachwa kabisa. Utafiti uliofanywa na uongozi wa Wakapuchini ulionyesha kwamba wanashirika walio wengi wasingeshauri kijana kujiunga nao. Ndiyo sababu, pamoja na miito kujitokeza kwa nadra Ulaya, idadi ya Ndugu Wadogo ikapungua haraka tangu mwaka 1963 (OFM) na 1964 (OFMCap); kumbe Wakonventuali walipungua haraka kati ya 1968 na 1975, halafu wakaanza kuongezeka polepole sana.