Top 10 similar words or synonyms for nyurolojia

mhakiki    0.830504

bsc    0.812978

alishughulikia    0.810858

opencourseware    0.809988

rajiv    0.809443

useremala    0.809051

ongeri    0.806932

polity    0.799270

outram    0.799018

voelpel    0.796370

Top 30 analogous words or synonyms for nyurolojia

Article Example
Ben Carson Daktari Benjamin S. Carson (amezaliwa tar. 18 Septemba 1951) ni daktari na mtaalamu wa Nyurolojia, na pia ni Mkurugenzi wa Idara ya Nyurolojia kwa watoto katika hospitali ya Johns Hopkins huko nchini Marekani. Alitunukiwa na raisi medali ya uhuru mwaka 2008
Gifted Hands, The Ben Carson Story Gifted Hands, The Ben Carson Story ni hadithi ya kweli inayohusu maisha ya Daktari mtaalamu wa Nyurolojia Ben Carson Katika kitabu hiki, Carson anaelezea historia yake kuanzia alivyokuwa mtoto katika eneo la Detroit hadi wakati akiwa mkurugenzi wa idara ya watoto ya Nyurolojia katika Hospitali ya Johns Hopkins akiwa na umri wa miaka 33.
Biolojia Fiziolojia huchunguza jinsi kwa mfano mifumo ya neva, kinga, endokrini, kupumua, na usambazaji inavyofanya kazi na kuathiriana. Uchunguzi wa mifumo hii unashirikiwa na taaluma zingine mahsusi za udaktari kama vile nyurolojia na elimu ya kingamaradhi.
Strongyloidiasis Kusambazwa kwa ugonjwa strongyloidiasis hutokea wakati wagonjwa na ugongwa sugu wa strongyloidiasis huwa wagongwa. Inatokea kama maumivu ya tumbo, mshtuko na nyurolojia matatizo ya mapafu na ndamu na uwezekano wa kusababisha kifo. ndamu kuwa mbaya hupatikan mara nyingi lakini wakati mwingine hakuna dalili.
Saikolojia ya Kimatibabu Hatimaye jamii ya kisayansi ilikuja kukufuru njia hizi zote, wanasaikolojia wa kielimu pia hawakujihusisha na aina mbaya ya ugonjwa wa akili. Eneo hilo tayari lilikuwa likishughulikiwa na ulingo uliokuwa unakuwa wa saikolojia na nyurolojia katika harakati ya hifadhi. Haikuwa hadi mwisho wa karne ya 19, karibu wakati Sigmund Freud alipoanzisha "tiba ya kuzungumza" huko Vienna, ndipo matumizi ya kwanza ya kiafya ya saikolojia yalianza.
Tawahudi Tafiti kujua visababishi imekinzwa na kutokuwa na uwezo wa kutambua kundi maalum la wanajamii wenye umuhimu kibiolojia na mipaka ya jadi kati ya taaluma za tiba ya maradhi ya akili, elimunafsia, nyurolojia na taaluma ya tiba ya watoto. Teknolojia mpya kama vile fMRI na upigaji picha tensa inaweza kusaidia kutambua aina za fenotaipu (sifa zinazoonekana) vinazoweza kutazamwa kupitia uchanganuzi elektroniki wa ubongo, ili kuzidisha utafiti wa kiniurojenetikia wa tawahudi. Mfano mmoja ni kupungua kwa shughuli katika eneo la fusifomu wa ubongo, ambayo inahusishwa na mtazamo usio kamili wa watu na vitu. Imependekezwa kuainisha tawahudi kutumia jenetikia pamoja na tabia.
Ubaridi wa ashiki Kenneth Maravilla, Profesa wa Radiolojia na Upasuaji wa Nyurolojia na Mkurugenzi wa Maabara ya Utafiti ya MRI (Upigaji picha wa viungo vya mwili kwa kutumia usumaku) katika Chuo Kikuu cha Washington, Seattle, alielezea matokeo ya utafiti juu ya utenda kazi wa kingono wa wanawake yaliyotokana na picha za ubongo. Katika utafiti mdogo wa majaribio wa wanawake wanne wenye tatizo la wanawake kupata ashiki ya kingono, Maravilla aliripoti kuwa kulikuwa na utendaji mdogo wa ubongo ulioonekana katika kundi hili, ikiwa ni pamoja na utendaji mdogo sana katika amidala (mkusanyiko wa viini unaopatikana katika sehemu ya mbele ya tundu la panja katika ubongo). Wanawake hawa pia walionyesha utendaji zaidi katika maeneo ya panja, tofauti na wanawake wasio na matatizo ya kingono, ambao hawakuonyesha utendaji katika maeneo kama hayo. Hii inaweza kuashiria ongezeko la kiwango cha kuzuia na kichocheo cha ashiki katika kikundi hiki kidogo cha wanawake wenye tatizo la kupata ashiki ya kingono.
Nyurosaikolojia Nyurosaikolojia ni taaluma ya kisayansi ya msingi inayochunguza muundo na utendaji wa ubongo kuhusiana na taratibu maalum za kisaikolojia na tabia wazi. Neno nyurosaikolojia limetumika kwa uchunguzi wa vidonda katika binadamu na wanyama. Pia imetumika katika juhudi za kurekodi shughuli za umeme kutoka kwa seli binafsi (au vikundi vya seli) katika mamali wa hali ya juu (pamoja na utafiti kiasi wa binadamu wagonjwa). Ni ya kisayansi katika mtazamo wake na inashiriki mtazamo wa akili wa utengenezaji wa maelezo na saikolojia tambuzi na sayansi tambuzi. Ni moja ya taaluma za kisaikolojia isiyofuata mfumo mmoja wa mawazo, wakati mwingine ikipishana na mawanda kama vile sayansi ya neva, falsafa (hasa falsafa ya akili), nyurolojia, taaluma ya tiba ya magonjwa ya akili na sayansi ya kompyuta (hasa kwa kutumia mitandao bandia ya neva).
Ubaridi wa ashiki Makadirio ya asilimia ya shida ya kingono ya wanawake inayotokana na sababu za kimwili ni kati ya 30% hadi 80%. Matatizo yenye uwezekano mkubwa wa kusababisha shida za mapenzi ni yale yanayosababisha matatizo katika kazi ya mzunguko au ya nyurolojia. Sababu hizi zimechunguzwa zaidi kwa wanaume kuliko kwa wanawake. Etiolojia za kimwili kama vile magonjwa ya neva na ya moyo zimehusishwa moja kwa moja katika kumwaga manii mapema au kuchelewa kumwaga manii na pia katika tatizo la kusimika (Hawton 1993), lakini mchango wa sababu za fiziolojia kwa tatizo la kingono la wanawake si dhahiri. Hata hivyo, maandishi ya hivi karibuni yanapendekeza kwamba kunaweza kuwa na uharibifu katika awamu ya ashiki katika wanawake wenye ugonjwa wa kisukari. Kwa kuwa wanawake wenye ugonjwa wa kisukari huonyesha tofauti muhimu katika majibu yao kwa tatizo hili la kiafya, si ajabu kwamba athari za ugonjwa kwa ahiki pia hutofautiana sana. Kwa hakika, ukosefu wa ushirikiano wazi kati ya matatizo ya kiafya na utenda kazi wa kingono unaonyesha kuwa sababu za kisaikolojia zina sehemu kubwa katika matokeo ya matatizo hayo kwa utendakazi wa kingono (Melman et al. 1988).
Upigaji picha za kimatibabu Dawa za kinyuklia hujumuisha picha za utambuzi na matibabu ya ugonjwa, na pia zinaweza kujulikana kama dawa za kimolekuli au upigaji picha na utabibu wa kimolekuli . Dawa za kinyuklia hutumia tabia fulani za isotopu na chembe zenye nishati zinazotolewa kutoka kwa vifaa vinavyonururisha ili kutambua au kutibu magonjwa mablimbali. Tofauti na dhana ya kawaida ya radiolojia ya kianatomu, dawa za kinyuklia huwezesha utathmini wa fiziolojia. Njia hii ya tathmini za kimatibabu inayozingatia utendaji kazi ina matumizi muhimu katika vijitaaluma vingi, hasa onkolojia, nyurolojia, na kadiolojia. "Gamma kamera s" hutumika katika mfano skintigrafia, SPECT na PET ili kuchunguza maeneo ya shughuli za kibiolojia ambayo yanaweza kuhusishwa na ugonjwa. Mgonjwa hupewa Isotopu zilizo na maisha mafupi, kama vile I. Mara nyingi isotopu kufyonzwa kwa mapendeleo na tishu zinazofanya kazi kibiolojia katika mwili, na zinaweza kutumika kutambua vivimbe au sehemu zilizovunjika katika mfupa. Picha hupatikana baada ya fotoni zilizowekwa sambamba zimepatwa na chembechembe ambayo hutoa ishara ya mwangaza, ambayo kisha hukuzwa na kubadilishwa kuwa data ya kuhesabu.