Top 10 similar words or synonyms for nururifu

kaboni    0.878837

hidrojeni    0.873387

heli    0.868770

urani    0.865630

adimu    0.862126

ogania    0.860453

kikemia    0.856172

inayopatikana    0.846778

mata    0.846320

molekyuli    0.845597

Top 30 analogous words or synonyms for nururifu

Your secret weapon. Online courses as low as $11.99

Article Example
Mbinu ya rediokaboni Mimea inapokea kila siku CO pamoja na aina nururifu na kuiingiza katika miili yao. Wanyama wala majani wanapokea ile kaboni (isiyo nururifu na pia nururifu) kwa njia ya kula majani, na wanyama wala nyama wanaipokea kupitia nyama ya wanyama wengine wanaoliwa.
Nishati ya nyuklia Pia suala la kutunza takataka nururifu halijapata usuluhisho. Takataka hiyo itaendelea kuwa nururifu na hatari kwa afya kwa kipindi cha miaka elfu kadhaa. Hadi sasa hakuna nchi iliyopata mahali pa kudumu ambako takataka hii inaweza kutunzwa salama kwa milenia inayokuja.
Tanuri la nyuklia Hii ilikuwa sehemu ya mradi wa Manhattan Project iliyohitaji fueli nururifu kwa kutengeneza bomu nyuklia ya kwanza.
Bismuthi Bismuthi ni elementi nururifu yenye namba atomia ya 82 kwenye mfumo radidia na uzani atomia ni 209.980.
Mbinu ya rediokaboni Sawa na atomi nururifu zote isotopi hizi si thabiti zinayeyuka na kurudi katika hali thabiti, lakini si zote mara moja. Sayansi imegundua kipimo cha „nusumaisha“ kwa kila elementi. Nusumaisha inataja muda ambako nusu ya atomi nururifu inabadilika na kuwa elementi thabiti tena. Kwa kaboni C nusumaisha ni takriban miaka 5,730.
Mbinu ya rediokaboni Kaboni hupatikana hewani kwa kawaida kwa umbo thabiti la C. Lakini asilimia ndogo sana ya kaboni iliyoko hewani inapigwa na mnururisho wa jua na kubadilika kuwa isotopi nururifu ya C. Atomi hizi nururifu huitwa isotopi. Kwenye hewa ya kawaida kuna uhusiano kati ya C na C ambayo ni kati ya atomi 1,000,000,000 za C kuna atomi 1 ya C pekee.
Mbinu ya rediokaboni Msingi wa mbinu hii ni uwepo wa kaboni katika kila kiumbe; na kupungua kwa idadi ya isotopi za kaboni aina za C kwa sababu idadi za atomi nururifu inapungua kadiri ya mbunguo nyuklia. Kutokana na asilimia za kaboni nururifu ya C iliyobaki katika mata ogania inawezekana kukadiria umri wake.
Nishati ya nyuklia Urani ni elementi nururifu ya kufaa inayotokea kiasili ilhali imesambazwa katika ardhi bila kufikia kiwango cha kuanzisha mmenyuko . Plutoni inatokea katika matanuri ya nyuklia.
Poloni Poloni ni elementi nururifu sana na hatari kwa afya. Isotopi inayopatikana zaidi ni Po yenye nusumaisha ya siku 138 inayobungua kuwa metali ya risasi.
Tekineti Ni elementi nururifu inayopatikana kwa kawaida kama elementi sintetiki inayotengenezwa kwa matumizi yake. Hutokea pia kiasili kwa viwango vidogo sana katika mbunguo wa urani.