Top 10 similar words or synonyms for normandi

ugavana    0.761913

kabeho    0.726366

sabran    0.719090

mwanachuoni    0.718121

vuga    0.717626

chifu    0.708984

kakaye    0.699454

nabonidi    0.693617

aleksander    0.693103

frumensyo    0.683801

Top 30 analogous words or synonyms for normandi

Article Example
William I wa Uingereza Mwanawe Robert alikuwa mtemi wa Normandi na mdogo wake William II mfalme wa Uingereza.
Ufaransa Kwa karne kadhaa historia ya Ufaransa ilikuwa na ugumu wa pekee kutokana na mchanganyiko wake na historia ya Uingereza. Mwaka 1066 mtemi William wa Normandi aliyekuwa chini ya mfalme wa Ufaransa alivamia Uingereza na kuwa mfalme huko lakini yeye pamoja na warithi wake waliendelea kuwa watemi wa jimbo la Normandi. Kwa njia hiyo watemi wa Normandi waliingia mara nyingi kwa nguvu katika siasa ya Ufaransa.
Camembert (jibini) Camembert ni jibini laini kutoka Ufaransa. Asili yake iko katika jimbo la kutoka Normandi) kwenye kijiji cha Camembert.
William I wa Uingereza Alizaliwa katika Normandi ambayo ni sehemu ya Ufaransa iliyokaliwa wakati ule na Wanormani waliokuwa watu wenye asili ya Skandinavia. Wzazi wake walikuwa mtemi Robert wa Normandi na mke wake wa kando Herleva. Baba alimpa cheo cha mtemi mteule alipokuwa na miaka 6 wakati alipoenda kujiunga na vita ya misalaba. Alipokuwa mbukwa alihitaji kupigania vita kwa miaka mingi dhidi ya watemi wadogo waliotaka kukamata cheo chake. Tangu mwaka 1054 alikuwa mshindi na kutokana na kifo cha mfalme wa Ufaransa aliweza kutawala Normandi kama mfalme mdogo.
William I wa Uingereza William alielazimishwa kutetea himaya katika vita nyingi yake dhidi ya viongozi wazalendo Waingereza waliozidi kuasi dhidi yake, uvamizi kutoka Denmark, Waskoti kutoka kaskazini na pia dhidi ya mfalme wa Ufaransa aliyejaribu kuwa tena mkuu juu ya Normandi.
William I wa Uingereza Mfalme William I wa Uingereza anayejulikana pia kwa jina la William Mshindi (William the Conqueror) au kwa jina Kifaransa kama Guillaume alikuwa mtemi wa Normandi na mtawala wa mwisho wa nje aliyefaulu kuvamia Uingereza.
William I wa Uingereza William aliendelea kukamata au kuua wakubwa wa Waanglia-Saksoni. Akagawa nafasi za utemi za kieneo kwa ndugu zake kutoka Normandi. Hiyvo alianzisha kipindi cha historia ya Uingereza ambako makabaila wenye lugha ya Kifaransa walitawala watu raia wenye lugha ya Kianglia-Saksoni na Kikelti.
William I wa Uingereza Uingereza ilikaliwa wakati ule na Waanglia-Saksoni; lugha ya wakazi wengi ilikuwa Kianglia-Saksoni. Magharibi na kaskazini ya kisiwa cha Britania Kuu ilikuwa bado na wakazi asilia Wakelti na Wadenmark waliowahi kuunda makazi kwenye pwani la mashariki. William alikuwa ndugu na mfalme Edward wa Uingereza (1042-1066) kwa sababu mamake Edward alikuwa shangazi wa babake William. Edward alimtembelea William katika Normandi akamahidi atakuwa mrithi wake. Lakini baada ya kifo cha Edward wakubwa wa Uingereza walimchagua mtemi Harold kuwa mfalme mpya.