Top 10 similar words or synonyms for normale

supérieure    0.963916

heidelberg    0.905538

jaipur    0.898772

rajasthan    0.898500

masindi    0.898386

telemark    0.892406

chennai    0.891404

allahabad    0.887211

école    0.884811

coimbatore    0.884372

Top 30 analogous words or synonyms for normale

Article Example
Émile Durkheim Alisoma kwenye chuo cha École Normale Supérieure.
Raymond Aaron Aron alizaliwa katika jiji la Paris, mzazi wake mmoja akiwa ni Mwanasheria, alisoma katika shule ya École Normale Supérieure, ambapo hapo alikutana na Jean-Paul Sartre, ambaye alikuja kuwa rafiki yake wa maisha na mpinzani wake mkubwa katika maswala ya elimu .. Aron alishika nafasi ya kwanza katika mtihani wa Filosofia mnamo mwaka 1928, mtihani ambao rafiki yake wa karibu Sartre alishindwa kufaulu. na hatimaye mwaka 1930, alifanikiwa kutunukiwa shahada ya udaktari katika Historia ya Filosofia kutoka katika chuo cha École Normale Supérieure.
Louis Althusser Louis Pierre Althusser (matamshi ya Kifaransa kwa IPA: altyˈsɛʁ; 16 Oktoba 1918 – 22 Oktoba 1990) alikuwa ni mwanafalsafa wa itikadi za Kisoshalisti za Karl Marx kutoka nchi ya Ufaransa. Alizaliwa nchini Algeria na kusoma katika chuo cha École Normale Supérieure kilichopo katika jiji la Paris lililopo nchini Ufaransa, ambapo hatimaye alikuwa Mwanafilosofia.
Assia Djebar Djebar alizaliwa katika eneo la Cherchell, mji mdogo wa pwani karibu na Algiers. Familia yake iliishi katika kijiji kidogo cha karibu kilichoitwa Mouzaïaville. Pale, alienda shuleni ambapo babake alifunza Kifaransa. Baadaye alienda shule ya mabweni katika eneo la Blida. Mnamo mwaka wa 1955, Djebar alikuwa mwanamke wa kwanza wa Kialjeria kukubaliwa katika École Normale Supérieure, taasisi ya ufunzi ya kipekee katika eneo la Paris.
Étienne Balibar Balibar aliibuka wa kwanza katika wanafunzi wa Althusser katika shule ya École Normale Supérieure. Balibar alikuwa akishiriki katika majadiliano mbalimbali katika warsha zilizokuwa zikiongozwa na Louis Althussernyingi zikimuhusu Karl Marx. Majadiliano haya, hatimaye yakapelekea kuandikwa kwa kitabu cha Reading Capital. Balibar kwa sasa anafundisha Filosofia na nadharia ya siasa latika chuo kikuu cha California, Irvine.