Top 10 similar words or synonyms for newspapers

bureau    0.856263

newspaper    0.855838

summary    0.853396

capital    0.847402

sites    0.835080

population    0.832262

results    0.830517

commission    0.827833

photos    0.827652

federal    0.826734

Top 30 analogous words or synonyms for newspapers

Article Example
Evening Times Usimamizi ulinunuliwa mnamo Mei 1992 na Caledonian Newspapers ikaundwa, kampuni hii ilinunuliwa baadaye na stesheni ya televisheni ya Scotland Television katika mwaka wa 1996. Baada ya ununuzi huu, kundi hilo la televisheni lilijiita Kundi la "Scottish Media Group", jina hili lilifupishwa kuwa SMG na na hapo mwaka wa 2008 likaitwa STV Group plc.
Mankato Free Press Mmiliki wa mwisho wa gazeti hili alikuwa Jared How, aliyeuza kampuni ya The Free Press kwa Shirika la Ottaway Newspapers (kitengo cha kampuni ya Dow Jones na Wenzake). Ottaway ilinunua asilimia 11 ya kampuni hiyo katika mwaka wa 1977 na asilimia ilyobaki katika mwaka wa 1979. Katika mwaka wa 2002, Ottaway iliuza "The Free Press" na magazeti mengine kwa Shirika la Community Newspaper Holdings.
Lincolnshire Echo Lincolnshire Echo ni gazeti la asubuhi la kila siku la Uingereza la eneo la Lincolnshire. Lilianzishwa katika mwaka wa 1894 na huchapishwa tangu Jumatatu mpaka Jumamosi. Linamilikiwa na kampuni ya Northcliffe Newspapers. Maeneo makuu ya usambazaji wa jarida hili ni katika au karibu na Lincoln.
Northamptonshire Evening Telegraph Northamptonshire Evening Telegraph na gazeti dada lake, Northampton Chronicle & Echo, hivi sasa yanamilikiwa na kampuni ya Northamptonshire Newspapers Ltd., sehemu ya Johnston Press Plc. Gazeti tofauti la Peterborough Evening Telegraph, linalomilikiwa na kampuni shirika ya Johnston, lilianza kama toleo la mitaa likiwa na kurasa nne za mabadiliko. Kati ya miaka ya 1946 na 1976, matoleo ya maeneo manne tofauti ya kijiografia yalichapishwa yakiwa na kurasa tatu za mabadiliko. Tangu mwaka wa 1988, matoleo ya Kettering, Corby, Wellingborough na East Northants yalianza kuchapishwa tena.
Liverpool Echo Kampuni hiyo ilianza kupanuliwa katika mipango ya kuenea kimataifa. Katika mwaka wa 1985, iliendeleza na kuboresha muundo wake na ikaitwa Trinity Holdings Plc. Magazeti haya yalianzishwa tena yakichapishwa katika mitindo ya magazeti ya porojo. Yaliangazia nyakati ngumu za uhaba mkubwa wa ajira na shida za kijamii jijini Liverpool katika mwanzoni wa miaka ya 1980. Katika mwaka wa 1999, kampuni ya Trinity ilijiunga na kundi la Mirror Group Newspapers na kuwa Trinity Mirror. Kampuni hii ikawa kampuni kubwa kabisa ya uchapishaji wa magazeti nchini.
Gitobu Imanyara Wakati akiwa kifungoni, Imanyara alipata ugonjwa wa kumea kwa sehumu ya ubongo(tumour) ambayo kutibiwa. Pesa za misaada kwa Kenya alishuka kikubwa baada ya kukamatwa kwake, na idara ya serikali ya Amerika aliita "jaribio mwingine wa kunyimwa uhuru wa kujieleza nchini Yeye ilishinda tuzo la World Association of Newspapers muungano wa wachapishaji duniani,tuzo la uhuru wa Golden Pen baadaye mwaka huo, lakini kutokana na mamlaka ya Kenya kutomruhusu kuondoka nchini kwa ajili hiyo,rais wa shirika la dunia la uhuru, Rais Otto Lambsdorff alimletea binafsi tuzo hilo hapa Nairobi mapema mwaka 1992.
Wichita Eagle Gazeti la "Eagle" lilianzishwa na lilihaririwa na Marshall Murdock katika mwaka wa 1852. Gazeti shindani lake kuu,"Beacon", lilizinduliwa katika Oktoba ya mwaka huo. Majarida haya mawili yalishindana kwa miaka 88 mpaka mwaka wa 1960 ndipo "Eagle" lilinunua gazeti la "Beacon". Magazeti yote yaliendelea kuchapishwa , "Eagle" lilichapishwa asubuhi na "Beacon" lilichapishwa jioni. Katika mwaka wa 1973, kampuni ya uchapishaji ya Ridder Publications ilinunua magazeti yote mawili. Kampuni za magazeti za Ridder na Knight Newspapers ziliungana na kuunda Knight Ridder katika mwaka wa 1974, kampuni hii ikaunganisha magazeti hayo mawili kuwa "The Wichita Eagle-Beacon" katika mwaka wa 1980. Katika mwaka wa 1989, neno "Beacon" likatolewa na jina la gazeti likawa "The Wichita Eagle".
Nottingham Evening Post Nottingham Evening Post ni gazeti la Uingereza ambalo huchapishwa katika eneo la Nottingham, Nottinghamshire na maeneo tofauti ya Derbyshire kama vile Long Eaton na Sandiacre. Posthuchapishwa kila wiki kutoka Jumatatu mpaka Jumamosi huku matoleo mawili yakichapishwa kila siku: toleo la asubuhi na toleo la "mwisho". Bei yake ni 35p, lakini kwa jumla ni 39p kama mtu anataka gazeti lifikishwe hadi mlangoni mwake. Jarida hili linamilikiwa na kundi la Newspapers Northcliffe Group, ambalo ni sehemu ya Daily Mail & General Trust, na lilikuwa "Gazeti la kupigia kampeni la mwaka".