Top 10 similar words or synonyms for newspaper

capital    0.921027

german    0.914407

portal    0.900131

military    0.899402

daily    0.899066

guide    0.897490

communications    0.893039

offices    0.892811

jesuit    0.890237

lithuanian    0.889261

Top 30 analogous words or synonyms for newspaper

Article Example
Lincolnshire Echo Gazeti hili lilivishwa taji la "Gazeti la Maeneo la Mwaka" na muungano wa Newspaper Society katika mwezi wa Aprili 2005. Mhariri wa sasa ni Jon Grubb.
The Joplin Globe The Joplin Globe ni gazeti la kuchapishwa kila siku kwa wiki katika eneo la Joplin, Missouri,Marekani. Linasambazwa katika makata 14 katika kusinimashariki mwa Missouri. Tangu mwaka wa 2002, imemilikiwa na shirika la Community Newspaper Holdings.
The Province The Province ni gazeti la kila siku linalochapishwa na mtindo wa gazeti la porojo. Gazeti hili huchapishwa katika eneo la British Columbia na Kundi la Pacific Newspaper, kampuni shirika ya CanWest Global Communications. Limekuwa gazeti la kila siku tangu mwaka wa 1898.
Mankato Free Press Mmiliki wa mwisho wa gazeti hili alikuwa Jared How, aliyeuza kampuni ya The Free Press kwa Shirika la Ottaway Newspapers (kitengo cha kampuni ya Dow Jones na Wenzake). Ottaway ilinunua asilimia 11 ya kampuni hiyo katika mwaka wa 1977 na asilimia ilyobaki katika mwaka wa 1979. Katika mwaka wa 2002, Ottaway iliuza "The Free Press" na magazeti mengine kwa Shirika la Community Newspaper Holdings.
Northamptonshire Evening Telegraph Northamptonshire Evening Telegraph ama kwa jina lake la utani la "ET" ni gazeti la mitaa ya upande wa kaskazini wa Northamptonshire likihusisha miji ya Kettering, Corby, Rushden na Wellingborough huko Uingereza. Makao yake yanapatikana katika jumba la Newspaper House katika barabara ya Rothwell Road mjini Kettering ingawa kuna ofisi katika miji yote mitatu.
Northamptonshire Evening Telegraph Kampuni ya East Midland Allied Press ilianzishwa katika mwaka wa 1947 kutokana na muungano wa kampuni za Northamptonshire Printing and Publishing, Peterborough Advertiser, West Norfolk na King's Lynn Newspaper na sehemu maalum za uchapishaji katika Rushden, King's Lynn na Bury St. Edmunds. Usimamizi ulichukuliwa na Pat Winfrey, mwana wa Bw. Richard Winfrey, aliyekuwa amenunua Spalding Guardian katika mwaka wa 1887. Katika mwaka wa 1996,EMAP, kama kampuni hiyo ilivyojulikana, ilikuwa ikichapisha magazeti 69, gazeti la Northamptonshire Evening Telegraph likiwa miongoni mwao.
Kampuni ya Magazeti ya Community Kampuni ya Magazeti ya Community(Community Newspaper Company - CNC), ni kampuni ndogo shirika ya GateHouse Media ambayo huchapisha magazeti katika eneo la mashariki ya Massachusetts. Ilianzishwa katika mwaka wa 1991 kama kampuni ya kuendesha kampuni kadhaa za uchapishaji na ikanunuliwa na Fidelity Investments katika mwaka wa 2001. Fidelity iliiuza kampuni hii kwa "Boston Herald" katika mwaka wa 2006.Kampuni hii ambayo ni mnyororo mkubwa wa kampuni kadhaa na inajulikana kama Wachapishaji Wakubwa kabisa wa magazeti ya kila wiki katika eneo la New England ilinunuliwa na GateHouse Media na ikawa sehemu kubwa kabisa ya GateHouse Media.
Star Tribune Familia ya Cowles ilinunua "Star" katika mwaka wa 1935 na "Journal" katika mwaka wa 1939 na magazeti hayo mawili yakaunganishwa kuwa gazeti la "Star-Journal". Hapo baadaye, jina lake likafupishwa kuwa gazeti la "Star". Familia ya Cowles ikanunua "Tribune" katika mwaka wa 1941. Magazeti haya ("Star" na "Tribune") yakaanza kuchapishwa moja la jioni na jingine la asubuhi. Katika mwaka wa 1982, majarida hayo yote yakaunganishwa kuwa 'Minneapolis Star and Tribune', na ilipofika mwaka wa 1987 gazeti likapewa jina lake la sasa la "Star Tribune". Kaulimbiu ya gazeti hili ikawa "Newspaper of the Twin Cities." Katika mwaka wa 1998, Kampuni ya McClatchy ikanunua Kampuni ya Cowles Media na ikauza mali zingine zote za Cowles Media lakini ikabaki na gazeti la "Star Tribune".