Top 10 similar words or synonyms for nehru

jawaharlal    0.902025

alihifadhi    0.894828

bai    0.892508

rajiv    0.888287

ahmadu    0.882224

sharma    0.875119

nathans    0.872881

goldwater    0.871758

njeru    0.869378

bergius    0.869181

Top 30 analogous words or synonyms for nehru

Your secret weapon. Online courses as low as $11.99

Article Example
Jawaharlal Nehru Baada ya kumaliza masomo yake huko London alikubaliwa kuwa wakili na 1917 alirudi Uhindi alipokuwa karani yake Mahatma Gandhi.
Jawaharlal Nehru 1922 alikamatwa mara ya kwanza na serikali ya kikoloni ya Kiingereza na katia miaka iliyofuata alirudi gerezani mara nyingi. Tangu 1929 alikuwa kiongozi wa Congress pamoja na Gandhi na mwenyekiti wake kuanzia 1930.
Jawaharlal Nehru Katika serikali ya muda iliyoandaa uhuru alihudumia kama makamu wa raisi. Siku ya 15 Agosti 1947 ilileta uhuru Nehru akawa waziri mkuu na kiongozi wa kisiasa wa Uhindi wote na muda huohuo waziri wa mambo ya nje. Nehru alishindwa kuzuia ugawaji wa Uhindi ulioleta nchi mbili za pekee za Uhindi na Pakistan.
Jawaharlal Nehru Ndani ya Uhindi aliunda uchumi mwenye tabia za kijamii kwa sekta ya viwandani. Alimaliza mabaki ya utawala wa kikabaila wa maraja na utawala wa kikoloni katika maeneo madogo ya Goa na Pondicherry yaliyokuwa yamebaki chini ya Ureno na Ufaransa.
Jawaharlal Nehru Baada ya kurudi Uhindini alimwoa Kamala Kaul aliyemzaa mtoto wake wa pekee Indira Priyadarshini. Indira alimfuata baadaye kuwa waziri mkuu wa Uhindi na baada yake mjukuu wake Nehru Rajiv Gandhi. Katika miaka ya mwisho ya utawala wa Kiingereza Nehru alikuwa na mapenzi na Edwina Mountbatten mke wa mfalme mdogo Louis Mountbatten.
Jawaharlal Nehru Jawaharlal Nehru (14 Novemba 1889 - 27 Mei 1964) alikuwa waziri mkuu na kiongozi wa kwanza wa kisasa wa Uhindi. Alitawala miaka 17 tangu uhuru wa 1947 hadi 1964.
Jawaharlal Nehru Alizaliwa mjini Allahabad (jimbo la Uttar Pradesh) katika familia ya Brahmin kutoka Kashmir. Babake wakili Motilal Nehru alikuwa kati ya viongozi wa kwanza wa chama cha Indian National Congress. Kijana Jawaharlal alipewa elimu kufuatana na mtindo wa magharibi na shule ya sekondari alisoma Uingereza. Akaendelea kusoma biolojia kwenye chuo kikuu cha Cambridge halafu sheria huko London.
Jawaharlal Nehru Nehru alijeng uhusiano mwema na koloni nyingi za awali zilizopata uhuru katika miaka ya 1950 na 1960. Katika mazingira ya vita baridi alianzisha harakati ya kutofungamana na Marekani au Umoja wa Kisoyeti na kukusanya mataifa mapya mengi katika ushirikiano huu.
Jawaharlal Nehru Nehru alirudishwa 1952 katika uchaguzi huru wa kwanza wa nchi hii. Alirudishwa mara mbili 1957 na 1962 akafa akiwa kazini.
Jawaharlal Nehru Kwa njia hii Motilal Nehru na Gandhi walijuana na Ghandi alijiunga na chama cha Congress.