Top 10 similar words or synonyms for ndimu

migomba    0.888268

karoti    0.885936

maharage    0.883863

kukaushwa    0.871080

manene    0.869259

membamba    0.869197

tumbako    0.866774

mbichi    0.865049

magimbi    0.864667

limao    0.863597

Top 30 analogous words or synonyms for ndimu

Your secret weapon. Online courses as low as $11.99

Article Example
Ndimu 126 kJ (30 kcal)
Ndimu Ndimu ni matunda madogo, ambayo ngozi na nyama yake ni kati ya inchi moja au mbili hivi. Ndimu huweza kuwa chungu au tamu. Ndimu chungu huwa kiasi kikubwa cha sukari na asili ya asidi citric kuliko malimao na kuwa na ladha ya asili huku ndimu tamu hukosa asidi ndani yake hivyo kuwa na ladha tamu kweli kweli.
Ndimu Kabohaidreti 11 g
Ndimu Vitamini C 29 mg (48%)
Ndimu Ndimu ni matunda ya mndimu ("Citrus aurantiifolia"), mti wa familia ya michungwa (Rutaceae). Umbo lake ni mduara wenye rangi ya majani mpaka manjano, na kipenyo cha sm 3-6. Zina ladha ya uchachu kwa sababu ya asidi ndani yao. Ndimu mara nyingi hutumika kuongeza ladha kwenye chakula na vinywaji. Kwa kawaida ni ndogo kuliko limau, na chanzo kizuri pia cha vitamini C. Katika kanda za tropiki na nusutropiki mindimu inaweza kumea mwaka wote kama maji yakiwapo. Ndimu ni chungu kidogo kuliko malimau.
Ndimu Katika mapishi ndimu huthaminiwa kwa yote , ladha yake ya asidi na harufu yake ya kukoza ni viungo maalumu sana kwa vyakula vya Meksiko, Vietnamu, Thailandi na kusini mashariki mwa Marekani. Zaidi hata majani ya mmea wa ndimu hutumika kwenye mapishi hasa katika nchi za Asia. Majani ya mmea huu hutumika kama dawa pia katika maeneo mengi hasa kusini na mashariki mwa Asia .
Ndimu Virutubisho kwa gramu 100 (3.5 oz)
Ndimu Katika kutibu ugonjwa wa ngozi, kiseyeye mnamo karne ya 19, serikali ya Uingereza ilihimiza watu wale sana ndimu, hii ni kutokana na kuwa chanzo kizuri cha vitamini C. Pamoja na mafuta maalumu, maji ya limao pia hutoa mchanganyiko unaotumika katika matengenezo ya marashi. Baadhi ya watu hunyunyiza maji ya ndimu kwenye macho yao, kupata uoni mzuri. Huko India hutumika kuwekwa kwenye imani yao kufukuza roho wabaya.
Ndimu India inaongoza kwa kuzalisha kwa wingi malimao na ndimu kwa wingi zaidi kwa asilimia 16, ikifuatwa na Meksiko (14. 55%), Ajentina (10%), Brazili (85%) na Hispania (7%)
Mndimu Mndimu ("Citrus aurantiifolia") ni mti wa jamii ya mchungwa unaozaa ndimu.