Top 10 similar words or synonyms for nadu

maharashtra    0.938870

pradesh    0.933035

tamil    0.931147

madhya    0.918193

universiti    0.909362

kuala    0.909345

lumpur    0.902246

uttar    0.899288

chennai    0.895680

ludhiana    0.887865

Top 30 analogous words or synonyms for nadu

Article Example
Tamil Nadu Tamil Nadu ni jimbo ya Uhindi. Mji mkuu wake ni Chennai.
Mtume Thoma Inawezekana kwamba sababu yake ni kazi za utume alizozifanya huko hadi kifodini chake huko Chennai (Tamil Nadu) mwaka 72.
Kitamil Kitamili ni lugha ya Uhindi inayojadiliwa hasa kwenye jimbo la Tamil Nadu pamoja na kaskazini ya Sri Lanka. Ni kati ya lugha kubwa za dunia yenye wasemaji zaidi ya milioni 70.
Chennai Chennai ni jina la mji mkuu wa jimbo la Tamil Nadu katika Uhindi. Kwa mujibu wa sensa iliyofanyika mnamo mwaka wa 2001, mji una wakazi wapatao milioni 4.6 wanaoishi katika mji huu. Mji upo m 6 kutoka juu ya usawa wa bahari.
Puducherry Jumla ya maeneo yote ni km² 492; kati ya sehemu nne Pondicherry (km² 290) na Karaikal (km² 160) zimezungukwa na eneo la jimbo la Tamil Nadu; Yanam (km² 20) liko ndani ya eneo la jimbo la Andhra Pradesh na Mahé (km² 9) imezungukwa na jimbo la Kerala.
Kulungu pembe-nne Kulungu pembe-nne wengi sana wa pori wapo Uhindi, na makundi ya wanyama wachache yapo Nepal. Usambazaji wao huenea kusini ya tambarare ya Gangetic mpaka jimbo la Tamil Nadu, na mashariki mpaka Odisha. Wapo pia katika Hifadhi ya Taifa ya Msitu wa Gir, ya Uhindi ya magharibi.