Top 10 similar words or synonyms for mshigi

cheeked    0.987007

estrilda    0.985941

turdoides    0.985320

crowned    0.984091

waxbill    0.983978

kahawiachekundu    0.983655

agapornis    0.983181

capped    0.983025

collared    0.982782

woodpecker    0.981774

Top 30 analogous words or synonyms for mshigi

Article Example
Mshigi Mishigi ni ndege wadogo wa jenasi mbalimbali katika familia Estrildidae ambao wanatokea Afrika, Asia na Australia. Takriban spishi zote za Afrika ni ndege weusi au kahawia na weupe wenye pengine sehemu za rangi kali kama nyekundu, machungwa na njano. Spishi nyingi za Asia na Australia zina rangi kali kwa kipande kikubwa cha mwili. Ndege hawa hula mbegu hasa na wadudu pia, hususa makinda. Tago lao ni tufe la manyasi lenye mwingilio kwa kando. Jike huyataga mayai 4-7.
Kinili Ndege hawa hawajengi tago lao lenyewe lakini hutaga mayai yao katika matago ya mtolondo, mshigi tombo au mshigi kidari-machungwa (udusio wa kiota, Kiing. brood parasitism). Kila spishi ya kinili inadusia spishi yake ya mtolondo au mshigi. Kinyume na kekeo vinili hawaharibu mayai ya mwenye tago. Huyataga mayai 2-4 kwa kuzidi yaliyomo. Mayai ya vinili ni meupe kama yale ya mwenyeji lakini wakubwa zaidi. Ndani ya domo la makinda inafanana na ile ya makinda ya mwenyeji na dume anaiga wimbo wake.
Fumbwe Ndege hawa hawajengi tago lao lenyewe lakini huyataga mayai yao katika matago ya ndege wa familia Estrildidae (udusio wa kiota, Kiing. brood parasitism). Kila spishi inadusia spishi yake ya Estrildidae. Vinili wadusia mitolondo, mshigi tombo au mshigi kidari-machungwa, na fumbwe wengine wadusia tunguridi, tunguhina au mishigi mbalimbali. Kinyume na kekeo fumbwe hawaharibu mayai ya mwenye tago. Huyataga mayai 2-4 kwa kuzidi yaliyomo. Mayai ya fumbwe ni meupe kama yale ya mwenyeji lakini wakubwa zaidi. Ndani ya domo la makinda inafanana na ile ya makinda ya mwenyeji na dume anaiga wimbo wake.