Top 10 similar words or synonyms for mrema

muchiri    0.869222

kinyanjui    0.867458

muliro    0.867239

chifupa    0.864465

prof    0.861322

sdp    0.859974

godfrey    0.857667

mbakweni    0.854526

pascal    0.853643

mugo    0.853165

Top 30 analogous words or synonyms for mrema

Your secret weapon. Online courses as low as $11.99

Article Example
Augustine Lyatonga Mrema Mwaka wa 1955 -1963 alianza masomo yake ya darasani mpaka shule ya kati katika Wilaya aliyopo huko huko mkoani Moshi vijijini. Ilivyofika mwaka wa 1964 mpaka 1965 Mrema alijiunga na Chuo cha Ualimu cha Mtakatifu Patrick. Tangu 1966 bwana mrema alikuwa mwanachama mkubwa wa CCM.
Augustine Lyatonga Mrema Mwaka wa 1970-71 alijiunga kwenye mafunzo maalumu ya siasa na uongozi katika Chuo cha Kivukoni na mwaka wa 1980 na 81 alienda nchini Bulgaria ambako alifanikiwa kutunukiwa Diploma ya sayansi ya Ustawi wa jamii na Utawala.
Augustine Lyatonga Mrema Augustine Lyatonga Mrema baada ya hapo alifanya kazi mbalimbali za kijamii na kichama kabla ya kujiunga na Chuo Kikuu cha Pacific mwaka 2003 ambako ametunukiwa Shahada ya Sanaa katika Sayansi ya Jamii.
Augustine Lyatonga Mrema Mh. Mrema alijiengua na CCM mwaka 1995 na kujiunga na Chama cha NCCR - Mageuzi ambako huko alienda kuwa Mwenyekiti wa Taifa na mgombea Urais kupitia chama hicho.
Augustine Lyatonga Mrema Augustine Lyatonga Mrema (amezaliwa mwaka wa 1945) ni mwanasiasa nchini Tanzania na mwenyekiti wa chama cha TLP(Tanzania Labour Party - Chama cha Wafanyakazi Tanzania).
Augustine Lyatonga Mrema Baada ya kumaliza mafunzo yake ya Ualimu na kupata kazi Mrema alianza kuchukua mafunzo yake ya sekondari ambapo mwaka wa 1968 alifanya mtihani wake wa kidato cha nne, wakati huo mitihani ikitoka Chuo Kikuu cha Cambridge cha nchini Uingereza.
Augustine Lyatonga Mrema Aligombea ubunge kwa mara nyingine mwaka 1990 na akafanikiwa kutetea jimbo lake tena safari hiyo kwa kishindo na akarudi bungeni kwa mara ya pili.
Augustine Lyatonga Mrema Bwana Mrema alianza kazi mwaka 1966-69 kama mwalimu akifundisha shule mbalimbali za mkoa wa Kilimajaro, ilopofika mwaka 1972 na 1973 aliteuliwa kuwa mratibu wa elimu wa Kata.
Augustine Lyatonga Mrema Ilipofika mwaka 1994 alibadilishwa Wizara hiyo na kuhamishiwa katika Wizara ya Kazi, Maendeleo ya Vijana na Michezo.
Augustine Lyatonga Mrema Augustine Mrema alizaliwa mwaka 1945, huko mkoa wa Kilimanjaro Tanzania, katika kijiji cha Kilaracha kilichopo katika Wilaya ya Moshi vijijini akiwa mzaliwa wa pili katika familia ya watoto watano ya Mzee Lyatonga Mrema.