Top 10 similar words or synonyms for mouvement

congolais    0.967001

mnc    0.924430

kasavubu    0.896366

lampoon    0.887146

hagerman    0.885253

mayor    0.875712

yuk    0.873022

hernán    0.872429

lakes    0.871786

kaddu    0.869265

Top 30 analogous words or synonyms for mouvement

Article Example
Historia ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo Mwaka 1958 vyama vya kisiasa vilikubaliwa. Harakati mbili muhimu kati ya hivi zilikuwa Abako (Alliance de Bakongo) chini ya Joseph Kasavubu na MNC (Mouvement National Congolais) chini ya Patrice Lumumba.
Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo Mwaka 1958 vyama vya kisiasa vilikubaliwa. Harakati mbili muhimu kati ya hivi zilikuwa Abako (Alliance de Bakongo) chini ya Joseph Kasavubu na MNC (Mouvement National Congolais) chini ya Patrice Lumumba.
Kongo ya Kibelgiji Mwaka 1958 vyama vya kisiasa vilikubaliwa. Harakati mbili muhimu kati ya hivi zilikuwa Abako (Alliance de Bakongo) chini ya Joseph Kasavubu na MNC (Mouvement National Congolais) chini ya Patrice Lumumba.
Kizito Mihigo Kwa muda alipokaa Ulaya kwa mafunzo zaidi ya muziki, alipata fursa ya kufahamiana na chama cha kimataifa cha "Mouvement International de la Reconciliatuon" - MIR, na kupata upeo zaidi wa mchango wake wa kuwapatanisha Wanyarwanda katika fani ya muziki, kwa kutumbuiza nyimbo nyingi za kidini.
Patrice Lumumba Patrice Lumumba (2 Julai 1925 – 17 Januari 1961) alikuwa mwanasiasa mwanamapinduzi wa nchi ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo. Mwaka wa 1958 alikuwa miongoni mwa waanzishaji wa Chama cha Taifa la Kongo (kwa Kifaransa: "Mouvement National Congolais"). Mwaka wa 1960 alipata kuwa Waziri Mkuu wa kwanza wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo baada ya kuongoza harakati za kugombea uhuru toka kwa utawala wa kikoloni wa Wabelgiji. Baada ya miezi miwili tu ya kuwa Waziri Mkuu, Lumumba alipinduliwa na baadaye kutiwa ndani kabla ya kuuawa katika mazingira ya kutatanisha katika eneo la Katanga upande wa kusini wa Kongo.