Top 10 similar words or synonyms for motheco

carnegie    0.841373

bellville    0.831678

normale    0.831262

oslo    0.825787

supérieure    0.818889

groote    0.815788

uttar    0.808412

école    0.801266

wellesley    0.798917

kianda    0.797658

Top 30 analogous words or synonyms for motheco

Article Example
Moravian Theological College Tangu 2005 Motheco ilikwisha ikaingia katika Chuo Kikuu Teofilo Kisanji.
Chuo Kikuu cha Teofilo Kisanji Chuo kikuu kilitanguliwa na Motheco kilichowahi kufundisha wachungaji pekee tangu 1969.
Teofilo Kisanji Kisanji alikuwa kati ya viongozi wa makanisa waliojenga umoja wa Jumuiya ya Kikristo Tanzania (CCT). Mwaka wa 1968 alishiriki katika azimio la kuanzisha chuo cha Motheco mjini Chunya. Aliandika vitabu viwili juu ya historia ya kanisa la Moravian.
Moravian Theological College Motheco au Moravian Theological College ilikuwa Chuo cha Theolojia cha Kanisa la Moravian Tanzania katika mji wa Mbeya (Tanzania). Kilianzishwa mwaka 1969 huko Chunya na kuhamia Mbeya mwaka 1978. Kilifundisha wachungaji wa Kanisa la Moravian Tanzania pia la Kilutheri hadi kiwango cha cheti na diploma.
Alinikisa Cheyo Alisoma Shule ya Msingi Mwembe tangu mwaka 1969 na kisha alijiunga na shule ya kati Haloli mjini Vwawa Mbozi. Baada ya hapo alijiunga na Chuo Cha Biblia cha Kanisa la Africa Inland cha Majahida kilichopo wilaya ya Bariadi Mkoa wa Shinyanga mwaka 1979 hadi 1981. Mwaka 1983 alijiunga na Chuo Cha Theologia cha Kanisa la Moravian kilichopo Mbeya (Motheco) ambapo alimaliza masomo mwaka 1986 na kutunukiwa cheti cha theologia. Akiwa Mbeya aliweza kujiendeleza kielimu kwa kujiunga na masomo ya Sekondari na mwaka 1987 aliweza kufanya mtihani wa kidato cha nne katika shule ya sekondari Mbeya Day. Alifanya tena mtihani wa sekondari katika kituo hicho hicho cha Mbeya Day Secondary mwaka 1999 na kutunukiwa cheti.