Top 10 similar words or synonyms for monoksidi

methani    0.862557

sodiamu    0.840239

inayoruhusu    0.838454

lisini    0.830994

kloridi    0.829161

trachea    0.828045

oksidi    0.827139

aside    0.826376

majiko    0.825979

chloroquine    0.825132

Top 30 analogous words or synonyms for monoksidi

Article Example
Moshi (wingu) Kama moto inapata oksijeni kidogo kiwango cha moshi huongezeka pamoja na gesi za sumu ndani yake kama vile monoksidi ya kaboni na mengine.
Damu Dutu zingine bali na oksijeni zinaweza kuungana na himoglobini, wakati mwingine hali hii inaweza kuleta madhara yasiyoweza kubadilishwa kwa mwili. Monoksidi ya kaboni, kwa mfano, ni hatari sana inapobebwa hadi kwenye damu kupitia mapafu kwa kuvuta pumzi, kwa sababu monoksidi ya kaboni hushikana kabisa na himoglobini na kuunda himoglobini kaboksili, hivi kwamba himoglobini kidogo zaidi ina uhuru wa kuungana na oksijeni, na hivyo kiwango cha chni zaidi cha oksijeni kinaweza kusafirishwa katika damu. Hali hii huweza kusababisha kukosekana kwa hewa kwa njia fichu. Moto katika chumba kilichofungwa na kisicho na tundu za kuingiza hewa ni hatari sana, kwa kuwa kinaweza kukusanya monoksidi ya kaboni katika hewa. Kiasi fulani cha monoksidi ya kaboni huungana na himoglobini wakati wa uvutaji wa tumbaku.
Jeraha la moto Majeraha ya moto yanaweza kuainishwa kwa undani, utaratibu wa jeraha, ukubwa, na majeraha yanayohusishwa. Uainisho unaotumiwa sana ni undani wa jeraha. Undani kwa kawaida hubainishwa kupitia uchunguzi, ingawa uchunguzi wa tishu inaweza kutumiwa. Inaweza kuwa ngumu kubaini undani wa jeraha kwa uchunguzi mmoja na inaweza kuwa muhimu utekeleze uchunguzi kadha. Kwa wale wanao umwa na kichwa au wanahisi kizunguzungu na wana majeraha yaliyosababishwa na moto, monoksidi ya kaboni wanapaswa kushughulikiwa.Sianidi pia wanapaswa kushughulikiwa.
Bakteria Bakteria aina ya lithotrofiki hutumia misombo isokaboni kama chanzo cha nishati. Isokaboni fadhili za elektroni za kawaida ni hidrojeni,kaboni monoksidi, amonia (inayopelekea naitrifikashion), chuma na ayoni zingine za metali zilopungukiwa, na misombo kadhaa zilizopunguzwa za sulfuri. Mara nyingi gesi ya methane inaweza kutumika na bakteria aina ya methanotrof kama kiini cha elektroni na chakula katika kunaboli kwa kaboni. Katika aerobik fototrofi na kemolithotrofi, oksijeni hutumiwa kama kikomo kubalifu cha elektroni, na huku katika hali ya anaerobik, misombo isokaboni hutumika badala yake. Viumbe vingi aina ya Lithotrofiki ni ototrofiki, navyo viumbe aina ya oganatrofiki ni heterotrofiki.
Damu Himoglobini ndiyo chanzo kikuu cha rangi ya damu katika wanyama wenye uti wa mgongo. Kila molekuli ina makundi manne ya heme, na mwingiliano wao na molekuli mbalimbali hubadili rangi halisi. Kati ya wanyama wenye uti wa mgongo na viumbe vingine vinavyotumia himoglobini, damu ya ateri na damu kutoka kwa mishipa ni mwekundu wenye kung'aa, kwa kuwa oksijeni huipa kikundi cha heme rangi nyekundu iliyokoza. Damu isiyo na oksijeni huwa ni nyekundu iliyokoza zaidi; hii inapatikana katika vena, na inaweza kuonekana wakati wa uchangiaji wa damu na wakati sampuli za damu kutoka kwa vena zinapochukuliwa. Damu iliyopata yenye sumu ya monoksidi ya kaboni ni nyekundu inayoyong'aa, kwa sababu monoksidi ya kaboni husababisha uundaji wa kaboksihimoglobini. Katika sumu ya sianidi, mwili haiwezi kutumia oksijeni, kwa hivyo damu ya vena bado hubaki ikiwa na oksijeni na hivyo kuongeza wekundu. Ingawa damu yenye himoglobini kamwe haiwi na rangi ya buluu, kuna hali kadhaa na magonjwa ambapo rangi ya makundi ya heme hufanya ngozi ionekane ikiwa na rangi ya buluu. Ikiwa heme imewekewa oksijeni, methimoglobini, ambayo ni ya kahawia zaidi na haiwezi kusafirisha oksijeni, inaundwa. Katika hali isiyo ya kawaida ya salfahemoglobinemia, sehemu ya himoglobini ya ateri huwekwa oksijeni, na huonekana kuwa na rangi nyekundu iliyokoza na rangi ya bluu (sainosisi).
Nimonia esinofili Ugonjwa wa nimonia esinofili hutambuliwa katika mojawapo ya hali tatu: wakati hesabu kamili ya damu inaonyesha kuongezeka kwa eosinofili na eksirei ya kifua au picha zilizopigwa kwa kompyuta zinabainisha hali isiyo ya kawaida katika mapafu, wakati biopsi inatambua kuongezeka kwa eosinofili katika tishu za mapafu, au wakati eosinofili nyingi zinapatikana katika maji yanayotolewa kwa bronkoskopi (maji ya bronchoalveolar lavage (Bal)). Uhusiano na dawa au saratani kwa kawaida hudhihirika baada ya ukaguzi wa historia ya mtu huyo ya matibabu. Maambukizi maalum ya vimelea hutambuliwa baada ya kuchunguza mfichuo wa mtu kwa vimelea vya kawaida na kufanya vipimo vya kimaabara ili kuangalia vitu vinavyoweza kuwa vimesababisha. Kama hakuna sababu msingi iliyopatikana, utambuzi ya AEP au CEP hufanywa kulingana na vigezo vifuatavyo. Kuna uwezekano mkubwa wa AEP kuambatana na kushindwa kupumua baada ya ugonjwa mkali wa febrili ambao kwa kawaida ni wa chini ya wiki moja, mabadiliko katika maeneo kadhaa na maji katika eneo linalozunguka mapafu kwenye eksirei ya kifua, na eosinofili zilizozidi asilimia 25 kwenye Bal. Hali zingine za kimaabara zisizo za kawaida ni pamoja na ongezeko la idadi ya chembechembe nyeupe za damu, kiwango cha kubakisha mashapo ya erithrositi, na kiwango cha imunoglobulini E. Vipimo vya hali ya ufanyaji kazi wa mapafu kwa kawaida huonyesha mchakato uliozuiwa na ulio na uwezo uliopunguka wa kutawanyika kwa kaboni monoksidi. Uwezekano wa kuwa aina iliyopo ni ya CEP huwa sana sana wakati dalili zimekuwepo kwa zaidi ya mwezi mmoja. Vipimo vya kawaida vya kimaabara vya CEP ni pamoja na kuongezeka kwa eosinofili kwenye damu, kiwango cha juu cha kubakisha mashapo ya erithrositi, anemia inayotokana na upungufu wa chuma, na kuongezeka kwa pletileti. Eksirei ya kifua inaweza kuonyesha hali iliyopo isiyo ya kawaida mahali popote, lakini matokeo maalum zaidi huwa ni kuongezeka kwa kivuli katika periferi ya mapafu, mbali na moyo.