Top 10 similar words or synonyms for mobo

NotFoundError    0.789

Top 30 analogous words or synonyms for mobo

Article Example
Angelique Kidjo Mobo Awards (2002)
Bodimama A Bodimama ("Motherboard") ni kati printed circuit board (PCB) katika mengi ya kisasa ya kompyuta s na anashikilia wengi wa vipengele muhimu ya mfumo, wakati connectors kutoa peripherals mengine. Ya Motherboard mengine ni wakati mwingine hujulikana kama bodi kuu, mfumo wa bodi, au, tarehe Apple kompyuta, bodi ya mantiki. Pia ni wakati mwingine casually walioteuliwa na mobo.
I Wanna Be the Only One "I Wanna Be the Only One" umekuwa wimbo maarufu wa Eternal hadi leo hii: huu ulikuwa wimbo wa tatu kuchezwa sana katika redio huko nchini Uingereza na wimbo uliochezwa sana katika redio za Ulaya kutoka kwa wasanii wa Kiingereza kwa mwaka wa 1997. Wimbo umepelekea Eternal kupata Tuzo ya MOBO na Tuzo ya Capital FM ikiwa kama single bora. Vilevile ulipata kuchaguliwa kama Single Bora katika chati za BRIT Awards; ijapokuwa tuzo ilienda kwa wimbo wa "Never Ever" wa All Saints, ripoti zisizo rasmi zinasema mpambano ulikuwa mkali kiasi almanusura ushindi aidha uende kwa Eternal au Spice Girls. Na kwa mwezi Mei 2017, wimbo umeuza nakala 603,000 nchini Uingereza.
Eternal Albamu ya kwanza ya Eternal "Always & Forever" (1993) ilishika nafasi ya pili kwenye chati za UK Album Chart na kwenda kupata platinamu nne huko nchini Uingereza. Mwaka wa 1997, walifika nafasi ya kwanza kwenye chati za UK Singles Chart na kibao chao cha "I Wanna Be the Only One", ambacho kiliwapatia ushindi katika tuzo za Mobo Award 1997 ikiwa kama Single Bora. Vilevile walipata kuchaguliwa mara saba kwenye tuzo za Brit Award - lakini hawajashinda. Kwa ujumla wamefanikiwa kufikia 15 hadi 20 bora nchini Uingereza kuanzia 1993 hadi 1999, huku wakiwa na 10 bora zao kwa vibao kama vile "Stay" (1993), "Oh Baby I..." (1994), "Power of a Woman" (1995), "Someday" (1996), "Secrets" (1996) na "Don't You Love Me" (1997). Mwaka wa 2013, kundi liliundwa upya wakiwa watatu bila Louise Redknapp kwa ajili ya mfululizo wa pili wa kipindi cha TV kupitia runinga ya ITV2 "The Big Reunion", na kutumbuiza katika tamasha moja tu mnamo mwezi Machi 2014.
Wizkid Kazi na mchango wake katika Tasnia ya Muziki wa Nigeria umepelekea kupata mafanikio kadha wa kadha, ikiwa ni pamoja na tuzo ya BET Award, a MOBO Award, The Headies Awards tatu, Channel O Music Video Awards mbili, nne za Nigeria Entertainment Awards, Ghana Music Award, mbili za Dynamix All Youth Awards, mbili za City People Entertainment Awards, na Future Award. Kwa zaidi, amepata kuchaguliwa mara tatu katika MTV Europe Music Awards vilevile mara nne katika tuzo za World Music Awards. Alipata kuwa nafasi ya 5 kwa msanii mwenye pesa sana wa Afrika mwaka 2013 na jarida la Forbes na Channel O. Mnamo Februari 2014, Wizkid amekuwa mwanamuziki wa kwanza wa Kinigeria kuvuka idadi ya milioni 1 ya watu wanaomfuta katika mtandao wa Twitter.