Top 10 similar words or synonyms for mobb

goodbye    0.964416

shock    0.959117

akishirikishwa    0.958948

lights    0.957563

wish    0.955796

rated    0.955260

bone    0.955020

interlude    0.954914

turn    0.953983

cry    0.953436

Top 30 analogous words or synonyms for mobb

Article Example
Gangwe Mobb Kibao chao cha kwanza mashuhuri kilikuwa "Mauzauza". Albamu yao ya kwanza, "Simulizi la Ufasaha" ikiwa imejumlisha vibao vikali ambavyo ni "Ngangali" na "Mtoto wa Geti Kali". Albamu yao ya pili ni "Nje Ndani", ilitolewa mnamo mwaka wa 2002 ilikuwa na kibao chake kilicholeta gumzo, "Asali wa Moyo". Miongoni mwa single zao walipata kuziita "Bundasiliga" ambazo zilikuwa zikitoa ujumbe kwa jamii. Pia wamewahi kushirikiana na kundi la Kikenya la Necessary Noize kwenye kibao cha "Tunajirusha".
Gangwe Mobb Walisema kwamba jina lao linatokana na kundi kongwe la hip hop la Mobb Deep.
Gangwe Mobb Gangwe Mobb wanaeleza kwamba muziki wao kama "rap katuni". Inaelezea kuhusu hali halisi ya maisha ya watu hali chini jinsi wanavyo-haha katika kujitafutia riziki ya kila siku. Nyimbo zao pia zinajulikana kwa kuanzisha lahaja mpya ya maneno ya msimu kwa kila nyimbo yao.
Gangwe Mobb Gangwe Mobb ni kundi la muziki wa hip hop ya Kitanzania. Kundi linatokea katika maeneo ya Temeke Mikoroshini huko mjini Dar es Salaam. Kundi linaunganishwa na wanachama wawili ambao ni: Inspector Haroun (jina kamili ni Haroun Kahena) na Luteni Karama (Karama Bakari). Kundi hili lilianzishwa mwishoni mwa miaka ya 90 punde baada ya Kwanza Unit, Mr. II na wengineo waliosababisha muziki wa hip hop wa Kiswahili nchini Tanzania kujipatia umaarufu. Jina la "Gangwe" linatokana na istilahi ya neno la msimu mashuhuri la Kiingereza la miaka ya 80 "hardcore". Ki-muktadha, gangwe inalenga hasa uhalisia wa hip hop ya watu wa mtaani ambamo mara nyingi wanaimba kwenye nyimbo zao.
Gangwe Mobb Kundi limetengana tangu mwaka wa 2004. Tangu hapo, Inspekta Haroun ameanza kazi kama msani wa kujitegemea, wakati Luteni Kalama amefunikwa vibaya-vibaya lakini alipata kuwa na kundi la Wanaume Family ambalo lilikuwa likiongozwa na Juma Nature. Mwaka wa 2008 Gangwe Mobb wametangaza kurudi.
Gangwe Mobb The group has a song named "Rap Katuni" on their "Nje Ndani" album.
Gangwe Mobb Mwaka wa 2004 kwenye Tuzo za Muziki Tanzania albamu ya "Nje Ndani" ilipata kuchaguliwa kama Albamu Bora ya Hip Hop.
Tmk Wanaume Halisi Makundi haya tunayoyazungumzia ni Gangwe Mobb linalojumuisha naLuteni Karama,Wachuja Nafaka linalojumuisha na Juma Nature na Doro, kundi lingine ni Gangsters with Matatizo (GWM) linalowakilishwa na D-Chief.
Inspector Haroun Haroun alianza kazi muziki mnamo miaka ya 1990 na amefanya kazi kadhaa kipindi cha nyuma na wanamuziki wengine tofauti kabla ya kujiunga na Tmk Wanaume Halisi. Alitoa nyimbo ya kwanza mwaka 1998, 'Mauzauza', akiwa na Luteni Karama kwenye kundi la Gangwe Mobb. Baada ya hapo wakatoa nyingine mwaka 2000 'Mtu Be,' kisha wakatoa Wimbo wa 'Mtoto wa Geti Kali' ulimpatia umaarufu mkubwa. Aliutoa wimbo huu peke yake ingawa alikuwa bado yupo katika kundi la Gangwe Mobb.
Jitu Potevu Jitu Potevu ni single ya kwanza kutoka katika kundi la muziki wa hip hop - LG Mobb. Single ilitoka mnamo mwaka wa 2002 ikiwa chini ya utayarishaji wake Miikka Mwamba wakati yupo katika studio ya FM Productions.