Top 10 similar words or synonyms for mnyweo

sistoli    0.873059

atiria    0.854115

ventrikali    0.828625

ugiligili    0.824418

kmn    0.820242

radiotherapi    0.814360

aota    0.812643

aorta    0.811539

hufunguka    0.808733

arteri    0.798277

Top 30 analogous words or synonyms for mnyweo

Article Example
Mzunguko wa moyo Sistoli ya Ventrikali ni mnyweo wa misuli "(myocardia)" ya ventrikali ya kushoto na kulia.
Mzunguko wa moyo Sistoli ya Atiria ni mnyweo wa misuli ya moyo "(myocardia)" ya atiria ya kushoto na kulia. Kwa kawaida, atiria zote hunywea kwa wakati mmoja. Neno "sistoli" ni sawa na kunywea (kukama au kufupika) kwa misuli. "Sistoli ya umeme" ni shughuli ya umeme ambayo huchangamsha misuli ya vyumba vya moyo (myocardium) kunywea. Hii hufuatiwa punde na "sistoli ya kimakanika," ambayo ni mnyweo halisi wa moyo.
Mzunguko wa moyo Mnyweo wa atiria, husababisha shinikizo la damu kuongezeka katika kila atiria, na kulazimisha damu ya ziada kuingia kwenye ventrikali. Mtiririko huu wa damu ya ziada huitwa Kupiga kwa Atiria.
Kiwango cha metaboli msingi Exergonic (2)ni nguvu zinaziachilia na kwa ujumla ni unaboli Endergonic (3) huhitaji nguvu pamoja na athari anaboliki na mnyweo wa misuli. Kwa ujumla Kimetaboliki ni catabolic, yenye kuachilia nguvu (exergonic), anabolic reactions, hisia za endergoniki.
Mzunguko wa moyo Dayastoli ya Moyo ni wakati moyo hupumzika baada ya mnyweo kwa ajili ya maandalizi ya kujijaza na damu kutoka kwenye mzunguko. Dayastoli ya Ventrikali ni wakati ventrikali inapumzika, wakati dayastoli ya atiria ni wakati atiria inapumzika. Kwa pamoja hujulikana kama Dayastoli wa moyo mzima
Mzunguko wa moyo Manyweo ya moyo kwa mdundo hupatanishwa na nodi za sinoatriali (SA) na atriaventrikali (AV). Nodi ya sinoatirial, mara nyingi hujulikana kama "kiongoza-mwendo wa moyo" , hupatikana kwenye ukuta wa juu ya atiria ya kulia na husababisha mawimbi ya umeme ya kusisimua ambayo huanzisha mnyweo wa atiria kwa kutengeneza uwezo wa kutenda. Mara baada ya wimbi kufika nodi AV, ambayo iko kwenye atiria ya kulia upande wa chini, inacheleweshwa huko kabla ya kupitishwa kwenye "Kifungu antriaventrikali" na juu kwenye nyuzi za Purkinje, na hivyo husababisha mnyweo ya ventrikali. Ucheleweshaji kwenye nodi AV inaruhusu muda wa kutosha kwa ajili ya damu katika atiria kujaza ventrikali husika. Katika tukio la patholojia kali, nodi AV pia inaweza kufanya kazi kama kiongoza-mwendo, hii si kawaida kwa sababu ya kiwango cha kutoa mawimbi ni ndogo kuliko kile cha seli za kiongoza-mwendo kwenye nodi SA, kwa hiyo huzidiwa kiwango.
Mzunguko wa moyo Katika mzunguko wa moyo, shinikizo la damu huongezeka na kupungua. Mzunguko wa moyo huratibiwa na mfululizo wa umeme unaozalishwa na chembechembe maalum za moyo zinazopatikana ndani ya nodi ya saino-atiria na node ya atirio-ventrikali. Misuli ya moyo inajumuishwa na chembechembe za misuli ambayo huanzisha mnyweo wao yenyewe bila msaada wa neva za nje (ukiondoa zile za kuboresha kiwango cha moyo kutokana na shughuli za mwili za kudumisha uhai). Katika hali ya kawaida, kila mzunguko huchukua wastani wa sekunde mbili.
Mzunguko wa moyo Mzunguko wa moyo (pia: mwendo wa moyo; ing. "cardiac cycle") inamaanisha matukio yote au yoyote kuhusiana na mtiririko au shinikizo la damu ambayo hutokea kuanzia mwanzo wa pigo la kwanza la moyo hadi mwanzo wa pigo la pili. Idadi ya mizunguko ya moyo kwa sekunde ni kasi ya kupiga kwa moyo. Kila pigo la moyo lina hatua tano muhimu: la kwanza, "dayastoli ya baadaye", ni wakati vali za semilunar hufunga, na vali za atrioventricular (AV) hufunguka, na moyo mzima umepumzika. Ya pili, "sistoli ya atiria", ni wakati atiria hunywea, vali za AV hufunguka, na damu hutiririka kutoka atiria kwenda ventrikali. Ya tatu, "mnyweo wa ventrikali ulio na mjao sawa", ni wakati ventrikali hunywea, na vali za AV na zenye umbo la nusu mwezi (semilunar) hufunga, na hakuna mabadiliko katika kiasi cha damu. Ya nne, "Ufukuzo wa ventrikali", ni wakati ventrikali ni tupu na zinanywea, na vali za semilunar ziko wazi. Kwenye hatua ya tano, "Kupumzika kwa ventrikali kwa mjao sawa", shinikizo hupungua, hakuna damu inayoingia kwenye ventrikali, ventrikali huacha kunywea na hupumzika, na vali za semilunar hufunga kutokana na shinikizo la damu katika mshipa wa aota.