Top 10 similar words or synonyms for methani

plumbi    0.903537

oksidi    0.899119

hidroksidi    0.889290

lisini    0.887940

meteoridi    0.884411

polipeptidi    0.882614

manganese    0.879729

arigoni    0.879423

bwete    0.877888

alikali    0.877417

Top 30 analogous words or synonyms for methani

Your secret weapon. Online courses as low as $11.99

Article Example
Methani Kwa kusudi la kuisafirisha na kuitunza mara nyingi inapashwa baridi na kutunzwa kama kiowevu katika vyupa imara vya feleji au tenki kubwa. Katika hali ya kiowevu inachukua nafasi ndogo tu kuliko gesi.
Methani Methani inawaka haraka kwa hiyo hutumiwa katika maabara kama chanzo cha joto. Katika viwanda vya kutengeneza umeme huchomwa kwa kusudi la kuendesha rafadha za umeme. Katika miji mikubwa hupelekwa kwa mabomba hadi nyumba za watu kwa upishi na kupasha moto nyumba.
Methani Methani hutazamiwa kati ya gesi za kupandisha halijoto duniani kali zaidi kuliko dioksidi kabonia. Kiwango chake katika angahewa kimezidi upanda tangu upimaji ulianza.
Methani Katika miaka ya nyuma kulikuwa pia na majaribio ya kuitumia kama fuele ya kuendesha magari.
Methani Methani ni kampaundi ya kikemia katika kundi la hidrokaboni yenye fomula CH4 maanake molekuli yake ina atomi 1 ya kaboni na atomi 4 za hidrojeni. Huhesabiwa kati ya alkani ikiwa ni sehemu kubwa ya mchanganyiko wa kawaida ya gesi asilia. Kwa halijoto ya kawaida duniani inatokea kwa umbo la gesi isiyo na herufi wala rangi. Ina nishati nyingi ndani yake inayotumiwa kwa njia ya mitambo. Asili yake iko katika mchakato wa kuoza kwa mimea na dutu ogania kwa hiyo ni fueli kisukuu.
Methani Methani hupatikana kwa mbinu mbalimbali za kikemia lakini wka kawaida inatokea wakati wa kuchemsha petroliamu katika kiwanda cha kusafisha mafuta.
Gesi asilia Kikemia ni mchanganyiko wa gesi mbalimbali kama methani zilizotokea kutokana kwa kuoza kwa mata ogania kama mimea miaka mingi iliyopita.
Gesijoto Gesijoto asilia zinazopatikana katika angahewa na kutunza joto la sayari ni pamoja na mvuke wa maji, hewa ukaa (kaboni dioksidi), methani, oksidi dinitrojeni (NO) na ozoni O
Titan (Zohali) Titan ni mwezi mkubwa wa Zohali na mwezi mkubwa wa pili katika mfumo wa jua letu. Hata ni kubwa kuliko sayari Utaridi. Pamoja na dunia yetu ni mahali pa pekee penye angahewa nzito ya gesi. Lakini haifai kwa binadamu kwa sababu ni baridi sana na gesi zake ni nitrojeni pamoja na hidrokaboni kama methani. Pamoja na dunia yeti ni pia mahali pa pekee katika mfumo wa jua letu penye maziwa na mito lakini hii si ya maji bali na methani kiowevu.
Cassini–Huygens Cassini inaendelea kuzunguka sayari na miezi yake. Mwaka 2012 ilituma picha za kwanza za mito nje ya dunia yetu iliyotambuliwa kwenye mwezi Titan. Maziwa na mito ya Titan ni ya methani na hidrokaboni nyingine zinazotokea duniani kama gesi lakini kwenye baridi ya Titan hupatikana kama kiowevu. Cassini ilipiga picha za mto menye urefu wa kilomita 400.