Top 10 similar words or synonyms for messina

NotFoundError    0.789

Top 30 analogous words or synonyms for messina

Article Example
Messina Messina ni mji wa Italia katika mkoa la Sisilia. Kwa mujibu wa sensa iliyofanyika mnamo mwaka wa 2009, mji una wakazi wapatao 250,000 wanaoishi katika mji huu. Mji upo m 3 kutoka juu ya usawa wa bahari.
Limpopo Kuna migodi mikubwa ya shaba huko Messina na Phalaborwa.
Sisilia Iko kusini kwa rasi ya Italia, ng'ambo ya mlangobahari wa Messina.
Eustokia Calafato Eustokia Smeralda Calafato wa Messina (Italia) alizaliwa tarehe 25 Machi 1434 akafa tarehe 20 Januari 1485 katika mji huo.
Katerina wa Bologna Katerina ni kati ya Waklara wa Observantia ambao walishika upendo kwa ustaarabu pamoja na utakatifu, kwa mfano Eustokia Calafato wa Messina na Batista Varano wa Camerino.
Benedikto Mwafrika Alizaliwa na jozi la watumwa kutoka Afrika mwaka 1524 huko San Fratello, wilaya ya Messina, mkoa wa Sisilia (Italia) akafariki Palermo mwaka 1589.
Petro Kanisio Mwaka 1548, mwanzilishi wa shirika, Ignasi wa Loyola, alimuita Roma, Italia, akamilishe malezi yake ya kiroho, halafu akamtuma kwenye shule ya bweni ya Messina, Italia, atoe huduma duni za nyumbani.
Etna Etna (kutoka Kilatini: "Aetna"; kwa Kiitalia pia "Mongibello"; kwa Kisisili "Mungibeddu" au "â Muntagna") ni volkeno hai wa Sicilia mashariki (Italia) kati ya miji ya Catania na Messina. Ndiyo ndefu kuliko zote za Ulaya, kwa sasa mita 3329 juu ya usawa wa bahari.
Mapigano ya Lepanto Mapigano ya Lepanto yalifanyika baharini tarehe 7 Oktoba 1571 kati ya Wakristo na Waislamu, meli zao zilipokutana katika Ghuba ya Patras (karibu na Ugiriki). Lepanto ni jina la bandari zilipoondoka meli za Dola la Osmani, wakati zile za mshikamano wa Kikristo zilitokea Messina (Italia).