Top 10 similar words or synonyms for mcgaw

brooklyn    0.647214

fontenelle    0.631176

mcvitie    0.628509

birmingham    0.627704

waanunsyata    0.623706

theron    0.618121

wakonsesioni    0.615915

rungstedlund    0.613977

fingers    0.612261

akaelekea    0.612123

Top 30 analogous words or synonyms for mcgaw

Article Example
Royal York Hoteli hii ilikuwa hoteli ya tatu kujengwa katika kipande hicho cha ardhi. Katika mwaka wa 1843, hoteli ya Ontario Terrace ilifunguliwa katika kipande hiki cha ardhi na ikaitwa Hoteli ya Sword hapo baadaye, katika mwaka wa 1853. Hoteli hiyo ilibadilishwa jina tena ikawa Revere House na kisha Hoteli ya Queen katika mwaka wa 1862. Kabla ya kubomolewa kwa hoteli hiyo, Hoteli ya Queen ilikuwa mojawapo ya hoteli bora sana jijini Toronto. Hoteli hiyo ilimilikiwa na Winnett na McGaw. Winnett na McGaw walikuwa wamiliki wa hoteli nyingi katika upande wa juu wa Kanada hapo mwanzoni mwa karne ya ishirini. Walimiliki Hoteli ya Queens Royal (Niagara) na walikuwa washirika katika usimamizi wa Tecumsie House huko London , Ontario. Henry Winnett alinunua hisa zote za Dick McGaw za hoteli baada ya kifo chake. Hatimaye , Hoteli ya Queen iliuziwa shirika la reli la Canadian Pacific Railway kisha shirika hilo likabomoa hoteli hiyo ili kujenga Royal York. Thomas Dick McGaw na Henry Winnett walizikwa katika pahali pa kuzikwa pa Mt. Pleasant pamoja na watu kadhaa wa jamaa yao.